Kapima upepo kuliko kukaa tu bila kujaribu bahati hafu baadae aje kujilaumu. Life gumu wakati ukiwa mbunge bata nje nje yani. Na assume anakua mheshimiwa Mange kimambi.Ila anapenda kuiga siyo creative kabisa kaona mdogo wake Wema atafaidi akiwa bungeni akaona na yeye akabahatishe
Hahahahahahahahahahahahaha Lemutuz miye nikisikia jina lake tu naanza kucheka kabla sijasikia story zakejamaa alikuwa ana msumbua Lemutuz kumkumbusha mchango aliyo ahidi,sasa Le big show akakerwa akamsema lakini hakumtaja jina...!
Na Jamaa nae baada ya kuona ujumbe ule na yeye akajibu na kumponda Lemutuz....sasa Lemutuz anataka kumfungulia case ya kumtukana..
Teh Teh kwa hiyo alipoteza network hadi kashindwa kutofautisha kati ya kiganja na bastola? Alitakiwa atembee na kiboko na angemcharaza kabisa...
Teh Teh avunje sasa mahabusu atoroke...! Hakika lazima ashike adabu!lemutuz lazima aende kumuona ili aje kutoa report kamili na Lemutuz na Mboni ni marafiki...Nikivuta picha ya tukio lazma alitetemeka mno alivomuona mange nimwañdikaji mzuri ila kumu face mtu direct ni ngumu kwake. Mtu mzima kupigwa vibao ni fedheha hafu shamimu akawa ana mwangalia.
Lemutuz naye anapenda kiki tu hana jipya.
umeona eeehhh..!!
na ndo atajua wale mawaziri wake ni mawaziri kivuli au manaibu
yangu macho mie.....!!!
maana aliowatukana wote wakimvalia njuga sijui itakuaje!!
kimbelembele chote tupa kule.....!!!
Jamaa alitakiwa kuwa ana tembea na kiboko kabisa maana siku hiyo ilitakiwa amtandike lazima angeenda kusema jamaa kamrushia bomu la mkono Teh Teh! Huyu dada ame umiza watu wengi sana..kumbe jee...
aliona rangi zoteee mwingine ajitolee kumtandika jamani looohhhh
dada anajifanya mjuvi sana ..
kumbe siku zote kiganja kina pande mbili....!!
anajitiaga upana wa pweza ...
Teh Teh avunje sasa mahabusu atoroke...! Hakika lazima ashike adabu!lemutuz lazima aende kumuona ili aje kutoa report kamili na Lemutuz na Mboni ni marafiki...
Huyu acheni aipate this time. Kutwa kutukana watu, 40 yake imefika.
Lazima atinge polisiHahahahahahahahahahahahaha Lemutuz miye nikisikia jina lake tu naanza kucheka kabla sijasikia story zake
Duh isha anza kum cost angejua angekaa huko huko US.. Kuna watu wamefurahia hiyo kitu
Si ana ndugu huku? Lazima apate dhamana!Naomba akae alie Eid ndani, hii kitu iwe minday ndio atadhika adabu.
Yaani duh atakuwa ameomba atumie simu apige picha aje kuongelea jinsi palivyo maana umaarufu unamuwasha na pesa amazitaka kwa nguvu.
Nakutakia kila la kheri na uchaguzi.
ameen...switie
yani mange acheni tu kwanza asuffer consequences kashantukania watu wangi wawili tena ninaowaheshimu sana...mmoja mpk leo ndoa yake haipo vizuri na amejitoa kwenye group la whatsap
MUNGU AMLIPE KM ALIVYOWATENDA WENZIE...
Si ana ndugu huku? Lazima apate dhamana!
Jamaa alitakiwa kuwa ana tembea na kiboko kabisa maana siku hiyo ilitakiwa amtandike lazima angeenda kusema jamaa kamrushia bomu la mkono Teh Teh! Huyu dada ame umiza watu wengi sana..