Non-Shatter
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 597
- 266
Jina litakupendeza ati! Mheshimiwa Mbunge BADILI TABIA.
Dah
Huu ubunge ushakuwa shida...kila mtu anautaka...... sijui atakuwa anakuja kipindi cha bunge au ndio familia itahamia huku
Kumbe hii kali
Kumbe mange keshatoka??? Ndio maana hakuna mashamsham insta...
Ila Yule babu posti zake siziaminigi kabisaaaa...dakika mbili tu anafuta..... huwa anapenda kiki mjini hapa
Mmmh huu ubunge nawaachia kina uwoya..sepetu..steve na mange... mie siuwezi