Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Namchukia sana huyo dada..anapenda sana chokochoko na watu

Yani ni mpuuzi,mimi namwona jinga sijui maisha ya watu huwa yanamuhusu nini,kila uchao kazi yake ni kuandama watu
 
Kasema karudi for good

Huyu Dada anasikitisha...
Anajua ana maadui wengi ila kwa jinsi maisha yalivyompiga LA kaona ni bora kurudi kupambana na maadui wake huku,kweli LA kumempiga vibao
Maskini sasa ubunge mange huwezi pata Dada angu ungevumilia tu maisha ya huko huku mbona utaumia roho
Duh can't fit in her shoes kwakweli kakoroga kila mahali mdomo mdomo huo......
 
Asipochokonoa watu tutapataje ubuyu wa mujini?????? Ukiondoa madhaifu mengine Tatizo Mange hana kifua....sasa mwisho lazima ugombane na mashosti woooooote...

Yaani kama nawaona watakuwa wanagongesha glass tu... na hivi ushosti wenyewe wa mashaka...
Mweeeh kweli ubuyu tuta miss ila vingine huwa ni too much anaweza akawa na ubuyu mzuri lakini anavyo present anaingiza hadi chuki na personal attack. Mfano ya shamimu na Wengineo too much of every thing hadi INA bore hapo lazma tu ujoulize ka walikua marafiki kwanini kawashikia bango.
Sio kifua ni tabia yake imekua sugu sasa hao wanao mshabikia hawafatani nao kwenye matatizo. Lolote likimkumba familia yake na wanawe ndo wataumia.
 
Mange ni zao la malezi mabovu aliyopata..Mange kazaliwa na housegirl wa marehemu Kimambi.. kalelewa Tandika kwa mama yake maisha yake yote ..Mange alifukuzwa kuishi kwa babake na mtia nia Mwele alipoolewa na Mzee Kimambi kwa sababu ya tabia zake za jalalani..

Huyu ni wa kumfunga kabisa

Duuuh asante kwa kytujuza,yani mange hana tofauti na shetani
 
Ilikuwa iwe hivyo maana siku za hivi karibuni ameshambulia sana wakubwa, tusubiri tuone itakuwaje maana alishasema haogopi mtu wala kitu chochote.

Sheria ya makosa ya mtandao kuanza naye.

mkuu mjini hapa,we unafikir anaongea tuu,ukiona hivyo anajiamini na defence mechanism yake.
 
Ubunge na urais umeshuka bei sana kipindi hii. Huyu dada anakigugumizi cha hatari, lakini ajabu ya mzee rajabu nae anataka kugombea ubunge!
 
Sijaelewa hata kidogo jamani.
Dah. Uko vizuri.

kawaida sana mariana,
hiyo ni nikuu toka ktk mashahiri/mistari ya wiz khalifa ktk ngoma inayofahamika kama "for everybody" ambayo wiz khalifa ameshirikishwa na juice j.

hii hapa unaweza itazama.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom