Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,332
Namchukia sana huyo dada..anapenda sana chokochoko na watu
Yani ni mpuuzi,mimi namwona jinga sijui maisha ya watu huwa yanamuhusu nini,kila uchao kazi yake ni kuandama watu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namchukia sana huyo dada..anapenda sana chokochoko na watu
Kasema karudi for good
you are right!Kaja kwa ajili ya ubunge tu akikosa unafikiri atakaa bongo
Mweeeh kweli ubuyu tuta miss ila vingine huwa ni too much anaweza akawa na ubuyu mzuri lakini anavyo present anaingiza hadi chuki na personal attack. Mfano ya shamimu na Wengineo too much of every thing hadi INA bore hapo lazma tu ujoulize ka walikua marafiki kwanini kawashikia bango.Asipochokonoa watu tutapataje ubuyu wa mujini?????? Ukiondoa madhaifu mengine Tatizo Mange hana kifua....sasa mwisho lazima ugombane na mashosti woooooote...
Yaani kama nawaona watakuwa wanagongesha glass tu... na hivi ushosti wenyewe wa mashaka...
Bibie umeadimika kweli nili Ku misso kwema lakini.mmmmhhh....!!!yangu macho..!!
Ina maana akipata ubunge anabaki bongo?Kaja kwa ajili ya ubunge tu akikosa unafikiri atakaa bongo
Yaani mange naye kachemka kweli.amerudi wakati ambapo anajua kabisa amejikusanyia maadui wa kutosha!! Na hapo lowasa hajafanya yake.
Bibie umeadimika kweli nili Ku misso kwema lakini.
Mboni Masimba ama Mbonu gani
Mange ni zao la malezi mabovu aliyopata..Mange kazaliwa na housegirl wa marehemu Kimambi.. kalelewa Tandika kwa mama yake maisha yake yote ..Mange alifukuzwa kuishi kwa babake na mtia nia Mwele alipoolewa na Mzee Kimambi kwa sababu ya tabia zake za jalalani..
Huyu ni wa kumfunga kabisa
Nahis lowasa afadhali ila January makamba ndio zaidi
hhhwhahaaaa katiwa vibao...?!!
safi sana naomba aliyempiga nimpe ofa bureee soda kwa mangii....
ujanja wote uleee kakubali kupigwa vibao...
hhahaahahaaahhhaaa...!!
Ilikuwa iwe hivyo maana siku za hivi karibuni ameshambulia sana wakubwa, tusubiri tuone itakuwaje maana alishasema haogopi mtu wala kitu chochote.
Sheria ya makosa ya mtandao kuanza naye.
Sijaelewa hata kidogo jamani.
Dah. Uko vizuri.