Nayeye ka experience..tofauti! Huyu dada ana matusi sijawai ona...! Hakika ame naswa..HHHAAHAAAAAAAAA
Leo watu wanacheka sana km anavyocheka wenzie pindi anapowavua nguo..kiko wapi sasaaa....
hakuna marefu yasiyo na ncha ama kwelii
Aisee pole kweli amekaa anatishia watu wasiishi vizuri yaani lazima kaharibia wengi zaidi.
Yaah wakichelewa kesho itabidi mpaka jumatatu...Weekend hii mkuu anaweza kaa mpaka monday, ndio atapata akili kaumiza watu wengi sana huyu mwanamke.
Nayeye ka experience..tofauti! Huyu dada ana matusi sijawai ona...! Hakika ame naswa..
Weekend hii mkuu anaweza kaa mpaka monday, ndio atapata akili kaumiza watu wengi sana huyu mwanamke.
Nasikia kuna watu wengine wawili wakubwa wamemfungulia mashitaka kwa hiyo yameongezeka! Lemutuz naye alishakwenda eneo la tukio na atatoa tamko Teh Tehi wish apewe adhabu kali mno iwe mfano kwa wengine na pia CCM wamnyang'anye kadi kwa kweli
maana hawa ndo wanadhalilisha chama hawa
Yaaaahinamaana bado Yuko ndani mpaka mida hii?
i wish apewe adhabu kali mno iwe mfano kwa wengine na pia CCM wamnyang'anye kadi kwa kweli
maana hawa ndo wanadhalilisha chama hawa
Yaaaah
If this is true, then "Free Mange Kimambi".
I am not a fan of Mange. I am a fan of Freedom of Speech.
This just elevates Mange beyond her current status.
Cc Nyani Ngabu
From lemutuz post
acha tu kingkong,kuna yule brother mwingine,yeye ni mtaalamu wa kucheza na synonyms.mfano neno "eat",ili kuwachanganya baadhi ya wanaJF anaweza akatumia "ingest,nibble au devour".
kuhusu hiyo ngoma ya juice j ambayo wiz khalifa kashirikishwa,mashahiri kamili yanapatikana hapa.
Ha ha ha ha sio bure Mange analeta balaa mpaka huku.Nasikia mpk sasa dhamana bado...wajitahidi mpk kesho la sivyo ngoma j3 na sikukuu hizi