Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

i wish apewe adhabu kali mno iwe mfano kwa wengine na pia CCM wamnyang'anye kadi kwa kweli
maana hawa ndo wanadhalilisha chama hawa
Nasikia kuna watu wengine wawili wakubwa wamemfungulia mashitaka kwa hiyo yameongezeka! Lemutuz naye alishakwenda eneo la tukio na atatoa tamko Teh Teh
 
i wish apewe adhabu kali mno iwe mfano kwa wengine na pia CCM wamnyang'anye kadi kwa kweli
maana hawa ndo wanadhalilisha chama hawa

naona asipofunzwa wakati huu kisawasawa atazidisha kutusi na Ku bully watu.sijui anatatizo gani,mtu unaacha mume mzuri,watoto wazuri,nchi nzuri unakwenda lazwa mahabusu uambulie na magonjwa ya ajabu.nammonea huruma najua ni mgonjwa lakini hataki kukubali kama anahitaji msaada.na watu waliokaribu nae naona wamemshauri wameshindwa.ataishia pabaya asipojirekebisha.
 
Hivi mnaomuattack mmeshawahi kufikiria anayoandikaga ukiachia mbali hayo ya rafiki zake??! Au tu mnaleta chuki zenu? Shut up law ilikuwa ni sahihi?? Je madrugdealers kuendeleza kuteketeza vijana wetu ni sahihi?? Na tunawajua na kuwazungumzia humu kila leo. Ila akiongea Mange anakuwa chizi?? Uozo wa Lowassa ilikuwa nazo ni chuki na wivu kwa huyo mzee??! Mbona humu anawekwa daily.. Acheni hizo, embu mdadavue anayoyaandikaga sio chuki tu.
 
From lemutuz post

Huyu ddemu nimemvulia kofia, yani Yale mashambulizi yote aliofanya na bado kaja Dar?

Kweli kuna watu hawapendi maisha yao au kakamata passport ya Obama ndio kaona freedom of speech ina apply mpaka Bongo.

Pole Mange huku hakuna "freedom of speech" kuna "freedom of Ufisadi".



Eid Mubarak wakuu wa JF.
 
acha tu kingkong,kuna yule brother mwingine,yeye ni mtaalamu wa kucheza na synonyms.mfano neno "eat",ili kuwachanganya baadhi ya wanaJF anaweza akatumia "ingest,nibble au devour".

kuhusu hiyo ngoma ya juice j ambayo wiz khalifa kashirikishwa,mashahiri kamili yanapatikana hapa.

Nimeshamsoma huyo Brother K ,sijaua lengo lao ni nini hasa,humu karibu 99% ni waswahili hivyo viingereza vyao vya Google wapeleke kwenye forums za USA.
 
I'm not fan of Mange Kimambi but I heard what she may have said.

When you start a blog there is an intention to welcome discussions and opinions while exchanging the two between yourself and the audience.

The blogger can be a powerful driving force towards certain agendas in an intended targets and one of them is the political theatre.

But at the same time your not expected to bring and publish false information, unconfirmed scandals, or documentation regardless of your desire to impress your audience. If you do so the targets will think of you trying to apply some kind of political or character assassination, this is sometimes called defamation.

Mange's blog has for so long been viewed as failure and has a serious inadequate reporting techniques with which the views, opinions and stories have no fact-checking, no serious attempt to push stories into context hence losing a lot of mutual understanding.

Mange alikuwa akifuatiliwa sana na aliposema tu kwenye blog yake kwamba anakwenda Tanzania kimoja, basi huo ndio ulikuwa mwongozo wa dhahama anazozipata sasa hivi.

Nchi yetu imebadilika sana si nchi ya miaka ileee, kiasi cha kusema unaweza ukaongeaongea tu bila mtu kukaa chini na kusoma hadithi zako.

Sasa system ya Polisi ni kwamba kama ukiingia rumande ijumaa basi unatoka Jumatatu, ila hii itakuwa balaa maana kesho ni siku kuu ya Eid El Fitr, hivyo Mange anaweza kulala selo leo hadi Jumatatu.

Its so sad but in this scenario the young lady has been the architect of her own downfall.

Eid Mubarak wakuu.
 
Akili za Watanzania ....so sad......tutaendelea kuwa Ma-Super Mburula Gademu mpaka lini , Tunaosujudu Wahalifu mpaka lini ? Katoka Mmoja wa kusema anaonekana chizi ??? Ohoooo Tanzania Nchi yangu (in Mbatia Voice)
- Lowwasa , January ----lipi baya alisema zaidi ya ukweli ?? Mbona watu wameridhika na Magufuli ??
-Machache na kumstaki Bang ---kipi cha uongo aliongea ??
-Hao Familia kupeana tenda wenyewe kwa wenyewe----Ni nini hatujui kuwa wanabebana na kuwaacha wasio na majina kwenye mataa ??
-Huyo Mr and Mrs sembe ---kwa kuwa hamna watoto walioathirika na madawa ndio maana mnaongea nyie ? nawaambia usiombee kiumbe chako kuwa Teja .....tena Mumuombe Mungu sana


Kila mtu anamapungufu yake na Mapungufu ya Mange ni kuongea moja kwa moja , mkono anaita Mkono sio cha kulia chakula , Tako anaita Tako sio Kalio , , , , Kwangu ni Mwanamke Shujaaa kama Mtikila na Ninaimani Atashinda ......
 
Back
Top Bottom