Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar


Awasilishe ushahidi mbele ya vyombo vya sheria na siyo kutukana watu mitandaoni.
Halafu hapo watu wameridhika na Magufuli badilisha..
Sema umeridhika na magufuli.
Kikubwa aache kubully watu mitandaoni alete ushahidi mambo yawe hadharani,
Siyo kuattack Mtu kila siku.
 

Mbona hajatishiwa bastola!
Au ulikua eneo la tukio?
 
mpk alipo sasa asipojiangalia yuko pabaya
mwanamke hafanyi yakeeee kutwa ya wenzie llooohhh
sononi za watu mi natamani wote wamshtaki aliowatukana mbwa yule
kuna watu mpk sasa ndoa zao zipi at risky,haruhusiwi kutumia smartphone na mmewe...kisa kimange
haya sasa acha yamkute na hizo timu ushuzi km zinagutts hebu ziweke their real faces tuone km watakaa ht sekunde zero
 
Hi I hapa story yenyewe.

 
muacheni akanyee debe raha sasa kwangu mie...
MUNGU naomba ulisimamie hili effectively ht km akitoka heshma iwepo asante mboni kwa uthubutu wewe ndo shujaa wa nwaka na nsembo hongera kwa kumfunza adabu kidogo yule good for nothing mmama...
 


teh teh teh teh kumbe na wewe umewashtukia eehh..

Miungu ya JF hiyo bana.. inapiga ung'eng'e balaa hahahahaha
 
Yani being honest Mange ameniuma kama ndugu yangu vile, regardless she was wrong or right imeniuma sana! I used to love her blog u-turn and it was no 1 in my search list. Yani sijui ndo kuwa addicted, jana nilipata habari jioni ya kukamatwa kwake nguvu zote ziliniisha kwa kweli, i pray apate walau dhamana ana mtoto mdogo maskini, alikuwa anamlea peke yake all this time bila housegirl sasa kumuacha na watu wengine mama hamuoni it real pains.
Jamani wale wapenzi wa u-turn km mm, tuungane hata kwa whatsapp group tukamwonyeshe support, wether she is wrong or not as long as i love her, thats it simjui hanijui, wangapi tunawapenda kwenye jamii na ni waovu kupitiliza. BRING BACK OUR MANGE
Freedom of speech jamani, leo nimeongea ya moyoni msinishambulie wakina sijui mbuta nanga na linda.
 
Tatizo kubwa watu wamezoea habari nyepesi juu ya mDhambi hawajazoea kukosolewa kwa undani zaidi. Uandishi wake wa kuonesha madhaifu wayu hawauoendi. Kuna wakati wandishi wa mwananchi kutoka kenya walifukuzwa kwa kuandika habari inavotakiwa
 


Hizi akili sijui mnashikiwaga na nani... Hayo unayoyaonge ni ya juzi tu, hukuyaona aliyokuwa anayafanya siku zilizopita?? Kama anaandika habari zake, kwanini aingilie privacy za watu ambazo zimeshapita na labda wenyewe kwenye situation waliyopo sasa hawataki vifike kwenye jamii. Kusema Makamba alikuwa anatembea na Jack kulikuwa na maana gani??

Hiyo blog yake imekuwa ikiwatukana watu bila sababu za msingi.. Mfano tu ni Diamond na Zari, Diamond alimfanya nini huyo mwanamke?? Maana from no where alianza kumtukana na kumtukana yule Zari ambae ni mjamzito, huo ndio ushujaa?? Hivi unajua kwanini Vodacom walijitoa kudhamini blog yake?? Wanawezaje from no where kujitoa kudhamini wakati ilikuwa moja ya blog zenye followers wengi?? Huoni kwamba hata wao waliona kuna shida??

Wanawake hapa mnamtetea huyo mtu kwa sababu moja tu, mnaumia mtapata wapi umbeya iwapo huyo mtu akichukuliwa hatua..
 
Dah maskin Mange...kiukweli huwa nampenda sana...ila kuna mambo mengine huwa simwelewi... hasa kwenye ku attack watu na kuwatukana. Maybe something is wrong somewhere...
 

umeongea ukweli kabisa
mi binafsi achukuliwe tu hatua sina shida hata na umbea wake kwanza umbea wake mwingi wa long time sie watoto wa mjini kitambo tunaujua sana tu..

wanaona raha vile alivyokua anatukana watoto wa wenzie na kuwashambulia akajua hakuna wa kumfunga paka kengele
NAMPA HONGERA MBONI KWA MAAMUZI MAGUMU YA KUMSHTAKI IMETOSHA KUBULLY WATU
anaachia comments za kipumbavu kwa maslahi binafsi ili kufurahisha hadhira asioijua
hahahaaaaaa....
nimefurahi mume wa shamim alivyomtia vibao saf sanaaa..halaf anasingizia katishiwa bastola...
mi naomba wotr aliowadhallilisha wamsue iwe fundisho
 

hhhhhaaaahhhhhaaaaaaaaaaaa
na afungweeeee...
 
Ushahidi mbona upo kwenye blog yake
 
Kwenye vibao tu walimkimbia, sijui kama huko polisi wataenda kumuona
 


Kumbe alichapwa vibao na hakulisema hilo teh teh.. Unaona unafki wake sasa??

Alafu kumbe ni MBONI ndie kamshtaki, hahahaha nahisi hiyo ni back-up ya EL maana Mboni na Mdogo wake Muhaji walikuwa Team EL.. Sasa ndio akome ku'bully watu na afutiwe viza zake maana akisafiri kurudi huko US ataanza kumchafua kila mtu sasa..

Honestly huyu mwanamke ana matatizo sana, kuna post iliwekwa humu akiconfess sijui kagombana na marafiki zake zaidi ya 20. Yani hakuna rafiki ambaye hajagombana nae, hapo mwenye matatizo obvious ni yeye na wala sio hao watu wengine. Alafu sasa bora mgombane yaishie hapo, yeye anayachukua alafu anaenda kukuchafua kwenye blog yake. And one more thing nahisi yeye mwenyewe pia ana ID nyingine nyingi tu huko ambazo anazitumia kama back-up ya kuendelea kurusha matusi na kufunua privacy za watu..

Miaka 10 jela itamtosha kabisa..
 
Huyu Mdada nilikuwa simjui lakini kama yeye anawadhalilisha viongozi hadi kiongozi wa nchi sioni sababu ya kwanini asishtakiwe tu unajua katika kila jambo lazima tuwe na mipaka hii ni nchi na ina sheria na ustaarabu wake pia...sitaki kuzungumzia hao sijui mnawaita masuperstar uchwara nachukia kuona mtu anawadhalilisha viongozi wa nchi tena kwenye mitandao kwa issue za uongo ili kupata kick.
Namuonea huruma sana lakini she deserve it.
Na wengine iwe somo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…