Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Akili za Watanzania ....so sad......tutaendelea kuwa Ma-Super Mburula Gademu mpaka lini , Tunaosujudu Wahalifu mpaka lini ? Katoka Mmoja wa kusema anaonekana chizi ??? Ohoooo Tanzania Nchi yangu (in Mbatia Voice)
- Lowwasa , January ----lipi baya alisema zaidi ya ukweli ?? Mbona watu wameridhika na Magufuli ??
-Machache na kumstaki Bang ---kipi cha uongo aliongea ??
-Hao Familia kupeana tenda wenyewe kwa wenyewe----Ni nini hatujui kuwa wanabebana na kuwaacha wasio na majina kwenye mataa ??
-Huyo Mr and Mrs sembe ---kwa kuwa hamna watoto walioathirika na madawa ndio maana mnaongea nyie ? nawaambia usiombee kiumbe chako kuwa Teja .....tena Mumuombe Mungu sana

Kila mtu anamapungufu yake na Mapungufu ya Mange ni kuongea moja kwa moja , mkono anaita Mkono sio cha kulia chakula , Tako anaita Tako sio Kalio , , , , Kwangu ni Mwanamke Shujaaa kama Mtikila na Ninaimani Atashinda ......

Awasilishe ushahidi mbele ya vyombo vya sheria na siyo kutukana watu mitandaoni.
Halafu hapo watu wameridhika na Magufuli badilisha..
Sema umeridhika na magufuli.
Kikubwa aache kubully watu mitandaoni alete ushahidi mambo yawe hadharani,
Siyo kuattack Mtu kila siku.
 
truthfully shamim namjua, she is not a good person, ila mumewe ndio sijui, na hata kama hauzi si angeenda polisi afungue kesi ya defamation (libel) amtishie bastola yeye ni nani...peleka polisi Mange na kesi iende mahakamani, am not a fan of Mange eitha but this shows how some pple hapa Tz think they run the country, peleka yule kule

Mbona hajatishiwa bastola!
Au ulikua eneo la tukio?
 
naona asipofunzwa wakati huu kisawasawa atazidisha kutusi na Ku bully watu.sijui anatatizo gani,mtu unaacha mume mzuri,watoto wazuri,nchi nzuri unakwenda lazwa mahabusu uambulie na magonjwa ya ajabu.nammonea huruma najua ni mgonjwa lakini hataki kukubali kama anahitaji msaada.na watu waliokaribu nae naona wamemshauri wameshindwa.ataishia pabaya asipojirekebisha.
mpk alipo sasa asipojiangalia yuko pabaya
mwanamke hafanyi yakeeee kutwa ya wenzie llooohhh
sononi za watu mi natamani wote wamshtaki aliowatukana mbwa yule
kuna watu mpk sasa ndoa zao zipi at risky,haruhusiwi kutumia smartphone na mmewe...kisa kimange
haya sasa acha yamkute na hizo timu ushuzi km zinagutts hebu ziweke their real faces tuone km watakaa ht sekunde zero
 
Hi I hapa story yenyewe.

nimemaliza kutoa maelezo at Oysterbay

Uwiiiii , naanzaje kwa mfano bila kuharibu kesi. Ndo nimetoka polisi kufungua kesi. Ntaelezea kijuu juu sanasababu kesi iko polisi. Inshort, nilikuwa Dar Free Market na watu wangu , Shamim akawa anapita pita hapo na gari yake anatucheki, then tukamwona mume wake nae kaja yuko kwenye gari ingine, bibie dezaun kama akawa anamuonyesha mumewe yani anamuelekeza Mange ndo yupi. Mie nkaendelea na shughuli zangu kama siwaoni mara mkaka kasimama mbele yangu anasema anasema anaiwa Abdul Nsembo Mume wa Shamim Mwasha.Anasema kwanini tunamuita Mr. Sembe ugomvi wa mke wake yeye kaingiaje? Nkamuliza kwanini kahisi yeye ndo Mr. Sembe kwani anauza sembe? Au kaona wapi nimemtaja kwa jina lake na kusema anauza sembe? Akasema yeye hataki tu kutajwa. niishie hapo maana sasa ntaharibu kesi in short alinitolea na bastola eti ataniua kama akitajwa ever again. Acha watu wakimbie kuona bastola, hapo mkewe Shamim kakaa kwenye gari anaangalia nahisi alikuwa anatamani mumewe anipige risasi kweli. Mie nikasimama nikamwambia sisogei na msamaha siombiiii. Jamani sijaelezea hata robo ya story…. Yani inshort jamaa anahisi hii nchi hakuna sheria na anasema kabisa hakuna sheria. Badi nimeenda Oysterbay kumbe alikuwa anatufata nyuma, eti kasimama nje ya Oysterbay polisi anasema hiki kituo changu hakuna wa kunifanya kitu. … Uwiiiii, tena akasema ntamuita na Makamba aje si alimsema Makamba. Pls msielewe vibaya sidhani kama January anajuana na huyu criminal wala kusupport biashara yake ila huyu jamaa anahisi January anaweza kumsaidia eti kisa Shamim anajuana na dada wa January. Gosh! Anyways watu wangu, tutapambana hawa watu tutawatoa kitaaaaa wasituuulie watoto wetu @8020fashions mwambie mumeo tutaonana kwenye sheria maana kasema nchi haina sheria mpaka anatoa bastoa hadharani sasa nataka kuona kwa macho yangu kuwa nchi haina sheria. Na mwambie siogopiiiiiiiiiiiiii na hajaniogopeshaaaa. Mimi ni mpiganaji siwezi ogopeshwa na bastola. Kila binadamu ataonja mauti. So ntakufa tu siku yangu ilifika. staki kuacha wanangu wadogo ila mbona mayatima wanaishi na wao wataishi tu na watakuwa proud walikuwa na mama fearless, mama yao stood for something. Na nitaongeaaaaa
Jamani nikiuwawa au nikipotea muulizeni Shamim Mwasha na mumewe Abdul Nsembo , watakuwa wanajua kilichonipata lazma……..
Mkiona nipo kimya kuhusu hii kesi msijijiulize maana kesi ikishafika mahakamani sitoweza tena kuongelea humu…
Na naomba mjue kuwa niko very determined kujua kama kweli nchi hii haina sheria na kama kweli Abdul Nsembo nchi hii kaiweka mkononi… Ntakuja kuwapeni feedback kama kweli kaishika nchi au vip
 
muacheni akanyee debe raha sasa kwangu mie...
MUNGU naomba ulisimamie hili effectively ht km akitoka heshma iwepo asante mboni kwa uthubutu wewe ndo shujaa wa nwaka na nsembo hongera kwa kumfunza adabu kidogo yule good for nothing mmama...
 
acha tu kingkong,kuna yule brother mwingine,yeye ni mtaalamu wa kucheza na synonyms.mfano neno "eat",ili kuwachanganya baadhi ya wanaJF anaweza akatumia "ingest,nibble au devour".

kuhusu hiyo ngoma ya juice j ambayo wiz khalifa kashirikishwa,mashahiri kamili yanapatikana hapa.

teh teh teh teh kumbe na wewe umewashtukia eehh..

Miungu ya JF hiyo bana.. inapiga ung'eng'e balaa hahahahaha
 
Yani being honest Mange ameniuma kama ndugu yangu vile, regardless she was wrong or right imeniuma sana! I used to love her blog u-turn and it was no 1 in my search list. Yani sijui ndo kuwa addicted, jana nilipata habari jioni ya kukamatwa kwake nguvu zote ziliniisha kwa kweli, i pray apate walau dhamana ana mtoto mdogo maskini, alikuwa anamlea peke yake all this time bila housegirl sasa kumuacha na watu wengine mama hamuoni it real pains.
Jamani wale wapenzi wa u-turn km mm, tuungane hata kwa whatsapp group tukamwonyeshe support, wether she is wrong or not as long as i love her, thats it simjui hanijui, wangapi tunawapenda kwenye jamii na ni waovu kupitiliza. BRING BACK OUR MANGE
Freedom of speech jamani, leo nimeongea ya moyoni msinishambulie wakina sijui mbuta nanga na linda.
 
Tatizo kubwa watu wamezoea habari nyepesi juu ya mDhambi hawajazoea kukosolewa kwa undani zaidi. Uandishi wake wa kuonesha madhaifu wayu hawauoendi. Kuna wakati wandishi wa mwananchi kutoka kenya walifukuzwa kwa kuandika habari inavotakiwa
 
Akili za Watanzania ....so sad......tutaendelea kuwa Ma-Super Mburula Gademu mpaka lini , Tunaosujudu Wahalifu mpaka lini ? Katoka Mmoja wa kusema anaonekana chizi ??? Ohoooo Tanzania Nchi yangu (in Mbatia Voice)
- Lowwasa , January ----lipi baya alisema zaidi ya ukweli ?? Mbona watu wameridhika na Magufuli ??
-Machache na kumstaki Bang ---kipi cha uongo aliongea ??
-Hao Familia kupeana tenda wenyewe kwa wenyewe----Ni nini hatujui kuwa wanabebana na kuwaacha wasio na majina kwenye mataa ??
-Huyo Mr and Mrs sembe ---kwa kuwa hamna watoto walioathirika na madawa ndio maana mnaongea nyie ? nawaambia usiombee kiumbe chako kuwa Teja .....tena Mumuombe Mungu sana

Kila mtu anamapungufu yake na Mapungufu ya Mange ni kuongea moja kwa moja , mkono anaita Mkono sio cha kulia chakula , Tako anaita Tako sio Kalio , , , , Kwangu ni Mwanamke Shujaaa kama Mtikila na Ninaimani Atashinda ......

Hizi akili sijui mnashikiwaga na nani... Hayo unayoyaonge ni ya juzi tu, hukuyaona aliyokuwa anayafanya siku zilizopita?? Kama anaandika habari zake, kwanini aingilie privacy za watu ambazo zimeshapita na labda wenyewe kwenye situation waliyopo sasa hawataki vifike kwenye jamii. Kusema Makamba alikuwa anatembea na Jack kulikuwa na maana gani??

Hiyo blog yake imekuwa ikiwatukana watu bila sababu za msingi.. Mfano tu ni Diamond na Zari, Diamond alimfanya nini huyo mwanamke?? Maana from no where alianza kumtukana na kumtukana yule Zari ambae ni mjamzito, huo ndio ushujaa?? Hivi unajua kwanini Vodacom walijitoa kudhamini blog yake?? Wanawezaje from no where kujitoa kudhamini wakati ilikuwa moja ya blog zenye followers wengi?? Huoni kwamba hata wao waliona kuna shida??

Wanawake hapa mnamtetea huyo mtu kwa sababu moja tu, mnaumia mtapata wapi umbeya iwapo huyo mtu akichukuliwa hatua..
 
Dah maskin Mange...kiukweli huwa nampenda sana...ila kuna mambo mengine huwa simwelewi... hasa kwenye ku attack watu na kuwatukana. Maybe something is wrong somewhere...
 
Hizi akili sijui mnashikiwaga na nani... Hayo unayoyaonge ni ya juzi tu, hukuyaona aliyokuwa anayafanya siku zilizopita?? Kama anaandika habari zake, kwanini aingilie privacy za watu ambazo zimeshapita na labda wenyewe kwenye situation waliyopo sasa hawataki vifike kwenye jamii. Kusema Makamba alikuwa anatembea na Jack kulikuwa na maana gani??

Hiyo blog yake imekuwa ikiwatukana watu bila sababu za msingi.. Mfano tu ni Diamond na Zari, Diamond alimfanya nini huyo mwanamke?? Maana from no where alianza kumtukana na kumtukana yule Zari ambae ni mjamzito, huo ndio ushujaa?? Hivi unajua kwanini Vodacom walijitoa kudhamini blog yake?? Wanawezaje from no where kujitoa kudhamini wakati ilikuwa moja ya blog zenye followers wengi?? Huoni kwamba hata wao waliona kuna shida??

Wanawake hapa mnamtetea huyo mtu kwa sababu moja tu, mnaumia mtapata wapi umbeya iwapo huyo mtu akichukuliwa hatua..

umeongea ukweli kabisa
mi binafsi achukuliwe tu hatua sina shida hata na umbea wake kwanza umbea wake mwingi wa long time sie watoto wa mjini kitambo tunaujua sana tu..

wanaona raha vile alivyokua anatukana watoto wa wenzie na kuwashambulia akajua hakuna wa kumfunga paka kengele
NAMPA HONGERA MBONI KWA MAAMUZI MAGUMU YA KUMSHTAKI IMETOSHA KUBULLY WATU
anaachia comments za kipumbavu kwa maslahi binafsi ili kufurahisha hadhira asioijua
hahahaaaaaa....
nimefurahi mume wa shamim alivyomtia vibao saf sanaaa..halaf anasingizia katishiwa bastola...
mi naomba wotr aliowadhallilisha wamsue iwe fundisho
 
Yani being honest Mange ameniuma kama ndugu yangu vile, regardless she was wrong or right imeniuma sana! I used to love her blog u-turn and it was no 1 in my search list. Yani sijui ndo kuwa addicted, jana nilipata habari jioni ya kukamatwa kwake nguvu zote ziliniisha kwa kweli, i pray apate walau dhamana ana mtoto mdogo maskini, alikuwa anamlea peke yake all this time bila housegirl sasa kumuacha na watu wengine mama hamuoni it real pains.
Jamani wale wapenzi wa u-turn km mm, tuungane hata kwa whatsapp group tukamwonyeshe support, wether she is wrong or not as long as i love her, thats it simjui hanijui, wangapi tunawapenda kwenye jamii na ni waovu kupitiliza. BRING BACK OUR MANGE
Freedom of speech jamani, leo nimeongea ya moyoni msinishambulie wakina sijui mbuta nanga na linda.

hhhhhaaaahhhhhaaaaaaaaaaaa
na afungweeeee...
 
Tatizo anaweza kuachiwa kwa kukosekana ushahidi wa kutosha! Hivi mboni ali print yaliyo andikwa?Halafu cyber law bado haijatungiwa kanuni elekezi kwa hiyo anaweza kuachiwa japo lazima atakoma kutukana watu mitandaoni!

Mtu kama huyu ni bora kumtandika bakora kabisa kuliko kumpeleka polisi au yule aliye mshikia bastola ange muwasha ya mguu ndio itakuwa funzo!
Ushahidi mbona upo kwenye blog yake
 
mpk alipo sasa asipojiangalia yuko pabaya
mwanamke hafanyi yakeeee kutwa ya wenzie llooohhh
sononi za watu mi natamani wote wamshtaki aliowatukana mbwa yule
kuna watu mpk sasa ndoa zao zipi at risky,haruhusiwi kutumia smartphone na mmewe...kisa kimange
haya sasa acha yamkute na hizo timu ushuzi km zinagutts hebu ziweke their real faces tuone km watakaa ht sekunde zero
Kwenye vibao tu walimkimbia, sijui kama huko polisi wataenda kumuona
 
umeongea ukweli kabisa
mi binafsi achukuliwe tu hatua sina shida hata na umbea wake kwanza umbea wake mwingi wa long time sie watoto wa mjini kitambo tunaujua sana tu..

wanaona raha vile alivyokua anatukana watoto wa wenzie na kuwashambulia akajua hakuna wa kumfunga paka kengele
NAMPA HONGERA MBONI KWA MAAMUZI MAGUMU YA KUMSHTAKI IMETOSHA KUBULLY WATU
anaachia comments za kipumbavu kwa maslahi binafsi ili kufurahisha hadhira asioijua
hahahaaaaaa....
nimefurahi mume wa shamim alivyomtia vibao saf sanaaa..halaf anasingizia katishiwa bastola...
mi naomba wotr aliowadhallilisha wamsue iwe fundisho

Kumbe alichapwa vibao na hakulisema hilo teh teh.. Unaona unafki wake sasa??

Alafu kumbe ni MBONI ndie kamshtaki, hahahaha nahisi hiyo ni back-up ya EL maana Mboni na Mdogo wake Muhaji walikuwa Team EL.. Sasa ndio akome ku'bully watu na afutiwe viza zake maana akisafiri kurudi huko US ataanza kumchafua kila mtu sasa..

Honestly huyu mwanamke ana matatizo sana, kuna post iliwekwa humu akiconfess sijui kagombana na marafiki zake zaidi ya 20. Yani hakuna rafiki ambaye hajagombana nae, hapo mwenye matatizo obvious ni yeye na wala sio hao watu wengine. Alafu sasa bora mgombane yaishie hapo, yeye anayachukua alafu anaenda kukuchafua kwenye blog yake. And one more thing nahisi yeye mwenyewe pia ana ID nyingine nyingi tu huko ambazo anazitumia kama back-up ya kuendelea kurusha matusi na kufunua privacy za watu..

Miaka 10 jela itamtosha kabisa..
 
Huyu Mdada nilikuwa simjui lakini kama yeye anawadhalilisha viongozi hadi kiongozi wa nchi sioni sababu ya kwanini asishtakiwe tu unajua katika kila jambo lazima tuwe na mipaka hii ni nchi na ina sheria na ustaarabu wake pia...sitaki kuzungumzia hao sijui mnawaita masuperstar uchwara nachukia kuona mtu anawadhalilisha viongozi wa nchi tena kwenye mitandao kwa issue za uongo ili kupata kick.
Namuonea huruma sana lakini she deserve it.
Na wengine iwe somo
 
Back
Top Bottom