Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
Kumbe alichapwa vibao na hakulisema hilo teh teh.. Unaona unafki wake sasa??
Alafu kumbe ni MBONI ndie kamshtaki, hahahaha nahisi hiyo ni back-up ya EL maana Mboni na Mdogo wake Muhaji walikuwa Team EL.. Sasa ndio akome ku'bully watu na afutiwe viza zake maana akisafiri kurudi huko US ataanza kumchafua kila mtu sasa..
Honestly huyu mwanamke ana matatizo sana, kuna post iliwekwa humu akiconfess sijui kagombana na marafiki zake zaidi ya 20. Yani hakuna rafiki ambaye hajagombana nae, hapo mwenye matatizo obvious ni yeye na wala sio hao watu wengine. Alafu sasa bora mgombane yaishie hapo, yeye anayachukua alafu anaenda kukuchafua kwenye blog yake. And one more thing nahisi yeye mwenyewe pia ana ID nyingine nyingi tu huko ambazo anazitumia kama back-up ya kuendelea kurusha matusi na kufunua privacy za watu..
Miaka 10 jela itamtosha kabisa..
yes kapigwa vibao na nsembo na wala hakutishiwa bastola ila kaona aibu watamcheka misukule yake...!!
mboni amemshtaki maana alimdhalilisha sana eti haolewii ..sijui kazaa na chief kiumbe,ndo maana mpk leo anazeekea kwao yani alimdhalilisha mno..!!
mi nimefurahi sana na nimeskia kuna wengine wanne wameendaa pia kujazia nyama polisi pia
alivyo mjanja anapenda kujivictimize sana aonekane yupo sawa kwa kujifananisha na wengine kwenye upuuzi wake
mi natamani mboni amdai fidia ya km milioni900 hv kwa kumdhalilisha