Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

naona asipofunzwa wakati huu kisawasawa atazidisha kutusi na Ku bully watu.sijui anatatizo gani,mtu unaacha mume mzuri,watoto wazuri,nchi nzuri unakwenda lazwa mahabusu uambulie na magonjwa ya ajabu.nammonea huruma najua ni mgonjwa lakini hataki kukubali kama anahitaji msaada.na watu waliokaribu nae naona wamemshauri wameshindwa.ataishia pabaya asipojirekebisha.
Katoto sa hizi kanajiuliza hivi mama yuko wapi?
Hii ndio tabu kuzaliwa na limama pumbavu km huyu.
 
Nasikia kuna watu wengine wawili wakubwa wamemfungulia mashitaka kwa hiyo yameongezeka! Lemutuz naye alishakwenda eneo la tukio na atatoa tamko Teh Teh

Asa lemutuz anatoa tamko kama nani??? Au na yeye ni afisa wajuu wa polisi??? Le mutuz nimemsoma kule insta ni umaarufu tyu anatafuta hana lingine.
 
Hii thread mbona inapungua page?

Kuna muda zilikuwa page 17 saa hizi naona 15! Ajabu
 
Hilo hawaoni hata hapa jf keshatukana sana huyu sura kma vampire.....kwani aseme tu flani muuza sembe wakti wauza sembe wako kibao 2,yeye akigombana n m2 ndio matusi yanaanza akae huko mpka j3

Kama alikuwa anataka kuonesha upambanaji wake angerudi bongo atafute evidence then aende polisi akawashtaki na si kutema povu nyuma ya keyboard alafu anajifanya mpambanaji..

Huyu demu ni fake sana na mwongo mwongo mno.. tunaomjua vizuri hatuwezi kushabikia upumbavu wake. Teh teh huyu demu anaweza kuwa ndie mtanzania pekee aliyafanya masters uarabuni.. hahaha Uarabuni sikuhizi kuna shule nako eti
 
Inawezekana pia ni move ya hao walioumizwa kwa kusemwa na huyu Mange. Tusubiri 'matukio'
Sitashangaa kama kibao kitamgeukia na kubambikiziwa kesi lukuki.... amegusa maisha ya wakubwa wengi ati.

Jana nililisema hili baada ya kusoma ishu ya kutishiwa bastola.
..
 
Kama alikuwa anataka kuonesha upambanaji wake angerudi bongo atafute evidence then aende polisi akawashtaki na si kutema povu nyuma ya keyboard alafu anajifanya mpambanaji..

Huyu demu ni fake sana na mwongo mwongo mno.. tunaomjua vizuri hatuwezi kushabikia upumbavu wake. Teh teh huyu demu anaweza kuwa ndie mtanzania pekee aliyafanya masters uarabuni.. hahaha Uarabuni sikuhizi kuna shule nako eti

Umenena hapo mbna wauza nganda ni wengi sana na wanajulikana bt hawataji hao yeye ni huyo abdul.....ukiangalia utaona chuki n husda ndio vinamtesa yani hata kadada kangeishi shinyanga cku nyingi wangekachoma moto.
Yani kana elements zote z wachawi halafu huko kwao huwa hawakashauri kaache uchawi wake
 
Babake mwenyewe alikuwa muuzaji.. Mimi naomba apewe kifungo tu ili aache hizo tabia za kishenzi
 
Duuuh kumbe ni zao wa wauza ngada.....basi kamepata laana y wa2 waliokua wanauziwa unga n mzee wke

Babake alikuwa muuza unga na mwizi wa wake za watu.. Akaja kuiba mke wa mbabe mmoja hivi, akaonywa akajifanya kuweka ngumu, akaendelea kuiba. Kilichompata ndio nahisi kinamfanya Mange aone watu wote ni adui zake hapa duniani..
 
Atakuwa ndiye huyohuyo.. teh teh sasa na wewe umeshaaribu. Sisi ma detective tunafanya hivi "Ungekaa kimya mpaka Mange akitoka uone kama hiyo ID itakuja humu kumtetea. Hapo ungekuwa 100% sure ni yeye" Lakini kama ataiona hii mention yake hiyo ID itapotea na hutoiona tena..

Atajulikana uandishi wake tu
 
Babake alikuwa muuza unga na mwizi wa wake za watu.. Akaja kuiba mke wa mbabe mmoja hivi, akaonywa akajifanya kuweka ngumu, akaendelea kuiba. Kilichompata ndio nahisi kinamfanya Mange aone watu wote ni adui zake hapa duniani..

Duuh anahitaji maombi mana hiyo masters yke ya dubai ni yakichawi na roho ya kigaidi
 
Back
Top Bottom