Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Judging from the way she expresses her opinions, she seems like a proud malevolent and narcissistic type of person. I think she needed this reality check, in her mind she must have thought she was untouchable.
 
I real like her and I do pray atoke,but aache kuzungumzia mambo ya watu especially ambayo hayamuaffect yeye wala taifa,mfano habari za mboni zina faida gani kwa jamii zaidi ya kumdhalilisha mtu,mambo mengine ni privacy jamani.
 
Dah,

nimemuona mchana huu lock-up ya Oyestrbay Polisi huyu mdada, nasikia aliletwa hapo Jana kulala baada ya kuhojiwa na Polisi kule Makao Makuu.

Yaani anatia huruma sana aisee. Nasikia hakutishiwa bastola bali alinaswa vibao na Abdul Nsembo. Pia ukiacha Abdul Nsembo inatajwa kua issue yake imefika mpaka kwa "Mkuu" sababu huko nako huyu demu alichafua pia.
 
Keep going mange you have our support kwenye vita ya madawa ya kulevya na uhuru wa vyombo vya habari , hata mandela alisumbuliwa na vyombo vya sheria lakini hakusita kupigania anachoamini
 
Kweli nimeamini muosha huoshwa. Aisee nikikumbuka alivyowaacha uchi Kiki Zimba na mumewe Maliki, Nacky, Teddy Kalonga etc. Yani wakijipanga kwenda oysterbay kumfungulia kesi hy foleni itafika TUNDUMA!!!

Hahaaa,wapenda umbea tutaumwa kwa muda!! had kesi iishe itakua tabuu
 
Hilo hawaoni hata hapa jf keshatukana sana huyu sura kma vampire.....kwani aseme tu flani muuza sembe wakti wauza sembe wako kibao 2,yeye akigombana n m2 ndio matusi yanaanza akae huko mpka j3
baba ake mwenyewe alikua drug lord mkubwa hapa town na bingwa wa kula viboga wake za watu leo ye ajione msafi
buo utajiri anaojisifu ni zao la dhambi na haramu tupu
Mwalimu acha kuchekesha 900m atoe wapi hata bwana yke n ukoo wke huko usa hawana huo mzigo labda.......huyu kapuku 2 w kuuza mitumba namuonaga akileta mzigo arusha kuna dada yangu nae mteja wake,maisha y kuunga 2 n sasa hivi kanataka ubunge atiii.
Nani akape ubunge hata tako l kushika ili upige mechi halipo sanasana tako la kusukuma uharo 2
hahahaaaa ye s anajisifu kwao wana pesa kasoma amerika so kila mboni aombe fidia kubwa sana tu mana kwao hvyo ni vijisenti tuuu
Anajitoa ufahamu eti kashikwa kisa kupiga vita drugs, anajisahaulisha matusi na udhalilishaji wake anaofanyia watu
freedom of speech na kutukana ni vitu viwili tofauti kakae huko huko tu wasikatoe
muongo hata hajatishiwa bastola mnafki hatari na ishu iliyompeleka jela ni udhalilishaji wa mboni na mwanawe
anajifanya kutafuta attention aonewe huruma
shutuuuuuuuuuu na afungweeeee....tuuuuu

Kweli nimeamini muosha huoshwa. Aisee nikikumbuka alivyowaacha uchi Kiki Zimba na mumewe Maliki, Nacky, Teddy Kalonga etc. Yani wakijipanga kwenda oysterbay kumfungulia kesi hy foleni itafika TUNDUMA!!!

yaaani ndugu yangu goes around comes around strong than before..
yani mi naomba wote wamfungulie kesi ye si bingwa maana katukana wengi haswa hapa mjini..
Babake mwenyewe alikuwa muuzaji.. Mimi naomba apewe kifungo tu ili aache hizo tabia za kishenzi
tena mla viboga na wake za watu pia
I real like her and I do pray atoke,but aache kuzungumzia mambo ya watu especially ambayo hayamuaffect yeye wala taifa,mfano habari za mboni zina faida gani kwa jamii zaidi ya kumdhalilisha mtu,mambo mengine ni privacy jamani.
mi pia mange akiongea inshu sensitive za kitaifa namuelewa sana ila sasa masuala ya watu binafsi ndo hapo anaponikera tena kuna mtu kamuumiza ndoa yake inaning'inia pia haruhusiwi kutumia smart ohone wala laptop ndo masharti ya msamaha hayo
Dah,

nimemuona mchana huu lock-up ya Oyestrbay Polisi huyu mdada, nasikia aliletwa hapo Jana kulala baada ya kuhojiwa na Polisi kule Makao Makuu.

Yaani anatia huruma sana aisee. Nasikia hakutishiwa bastola bali alinaswa vibao na Abdul Nsembo. Pia ukiacha Abdul Nsembo inatajwa kua issue yake imefika mpaka kwa "Mkuu" sababu huko nako huyu demu alichafua pia.

eehh MUNGU na akae huko huko mpk j3 mana kashadhalilisha sana watu huyu mwehu akitoka huko apelekwe mirembe straight....!!
 
heyy wapambe wake hamna aliyeenda kulala nae pale ostabei polisiiii...??!!!!!
 
thubutuu!!!! hata jeuri ya kusogelea kituo hawana

hahahaaaa...dah ama kweli mla nawe..hafi nawee
jinsi wanavyonshabikia na fake id zao sasaaa hahaaa
marichui,koku na wengineo kamtoeni bosi wenu lupango jamanii
 
heyy wapambe wake hamna aliyeenda kulala nae pale ostabei polisiiii...??!!!!!

Hao ndio wanaomtia ujinga,na issue zake anajimix sana,mara atukane familia za watu,mara wauza ngada,mara anataka ubunge.sijui ni bangi ama nini maana haeleweki.
kuongelea mambo ya unga ni kete tu anacheza.
ameumiza watu wengi sana huyu mwanamke kiukweli anahitaji kuchukuliwa hatua hasa.
im just feeling sorry kwa yule mtoto yuko abandoned na watu hawajui vizuri sa hii mama haonekani.
shame
 
Dah,

nimemuona mchana huu lock-up ya Oyestrbay Polisi huyu mdada, nasikia aliletwa hapo Jana kulala baada ya kuhojiwa na Polisi kule Makao Makuu.

Yaani anatia huruma sana aisee. Nasikia hakutishiwa bastola bali alinaswa vibao na Abdul Nsembo. Pia ukiacha Abdul Nsembo inatajwa kua issue yake imefika mpaka kwa "Mkuu" sababu huko nako huyu demu alichafua pia.
Yeye alijua serikali haipo.!
 
hiyo ya madawa ni unafki mfano hao rafki zangu akiowatukana ht si kisa cha madawa ya kulevya ni upuzi wake tu na roho mbaya
 
Dah,

nimemuona mchana huu lock-up ya Oyestrbay Polisi huyu mdada, nasikia aliletwa hapo Jana kulala baada ya kuhojiwa na Polisi kule Makao Makuu.

Yaani anatia huruma sana aisee. Nasikia hakutishiwa bastola bali alinaswa vibao na Abdul Nsembo. Pia ukiacha Abdul Nsembo inatajwa kua issue yake imefika mpaka kwa "Mkuu" sababu huko nako huyu demu alichafua pia.

Mkuu c mpigeni picha mtupie humu....mana atakua kavimba uso na alivyo mbaya hiyo picha atafanana n zombie....mana anasura kma kalambishwa sumu
 
hahahaaaa...dah ama kweli mla nawe..hafi nawee
jinsi wanavyonshabikia na fake id zao sasaaa hahaaa
marichui,koku na wengineo kamtoeni bosi wenu lupango jamanii

Hamna ki2 pale hiyo hotel tiger motel ilikua miaka ya 90 siku hizi iko kma gesti za tandale zenye kunguni.....walibadili jina inaitwa triz motel kma wangukua n hela wangejenga hotel y kisasa mana iko location nzuri sana.
Nyumba yao nayo ilikua tishio miaka hiyo sasa hivi y kawaida 2
 
Babake alikuwa muuza unga na mwizi wa wake za watu.. Akaja kuiba mke wa mbabe mmoja hivi, akaonywa akajifanya kuweka ngumu, akaendelea kuiba. Kilichompata ndio nahisi kinamfanya Mange aone watu wote ni adui zake hapa duniani..
Hembu tiririka mkuu maana kuna uvumi kwamba walimfanya kitu mbaya
 
Back
Top Bottom