If this is true, then "Free Mange Kimambi".
I am not a fan of Mange. I am a fan of Freedom of Speech.
This just elevates Mange beyond her current status.
Brother kwanza tujue ni kwa nini kawekwa ndani huyo mwanamke!!!
Pili kama ni mambo ya Defamation then the STATE has no power to intervene,...its strictly civil law.
Waliotukanwa ndiyo inabidi wamshitaki,....
Tunasubiria hizo picha dina yupo busy anabaka ndoa yke mana hasomeki cku hizi
Those are all part of the package for what she had been cooking in her kitchen, si kila saa alikuwa ni mgovi saa zingine pia ukisoma unaona alikuwa anachokozwa (atleast kwa mtazamo wa sie wasomaji tusio wajua vizuri hao watu aliokuwa anagombana nao na historia yao) either way lazima ujue mipaka yako.ameshtakiwa kwa kumtukana mboni masimba matusi na kumdhalilisha mboni na mwanawe na nsembo hajamtishia bastola kamtia vibao vya usoni kidogo tu...!!!
ameshtakiwa kwa kumtukana mboni masimba matusi na kumdhalilisha mboni na mwanawe na nsembo hajamtishia bastola kamtia vibao vya usoni kidogo tu...!!!
Ulikuwepo eneo la tukio, au ndio wote tuseme mana humu JF wote wajuaji kisha hamjioni kazi kusema ya wenzenu ya kwenu mmeyakalia. Mume wa Shamim ni drug Lord na anajulikana ht kwenye list ya majina waliotajwa na wafungwa wa China ametajwa.
Sababu wabongo mmezoea kusifia ujinga na hamtaki kuambiwa ukweli, mtu anauza unga na anamaliza vizazi vya Kutanzania, anajiamini na anadai nchi haina sheria eti mnamsifia amefanya vizuri mana hakutoa bastola. Mlikuwepo eneo la tukio au ndio sema usikike.
Halafu mnataka maendeleo, mmekalia umbea na kusifia ujinga ili muweke heshima mjini, badala ya kuondoa huo ujinga na ufusadi kwa mikono yenu miwili.
Mange ana matatizo yake, lakini hili la kukemea wauza madawa na kukemea ufusadu nilitegemea mngemuunga mkono lkn mmekuwa mbogo. Yani hadi huruma nyie mnaojiira wasomi wa JF.Ufisadi utaisha kwa kuwatukuza hao wanaowamaliza, hebu amkeni wa Tanzania na muanze kuwa ns fikra mana ni aibu
Tatizo anaweza kuachiwa kwa kukosekana ushahidi wa kutosha! Hivi mboni ali print yaliyo andikwa?Halafu cyber law bado haijatungiwa kanuni elekezi kwa hiyo anaweza kuachiwa japo lazima atakoma kutukana watu mitandaoni!
Mtu kama huyu ni bora kumtandika bakora kabisa kuliko kumpeleka polisi au yule aliye mshikia bastola ange muwasha ya mguu ndio itakuwa funzo!
Mboni unamfahamu???
Hapana simfahamu.
Ni nani?
Ukweli gani una uongelea?Kabisa, Free Mange kimambi Lowerly.
anasema ukweli, watu,hawapendi..
heyy wapambe wake hamna aliyeenda kulala nae pale ostabei polisiiii...??!!!!!
If this is true, then "Free Mange Kimambi".
I am not a fan of Mange. I am a fan of Freedom of Speech.
This just elevates Mange beyond her current status.
Cc Nyani Ngabu
View attachment 268666
Blogger Mange Kimambi wa u-turn Blog ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam.
Polisi wamemkamata wakati ameenda kuchukua fomu ya kutia nia kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwenye moja ya majimbo ya jiji la Dar.
Mpaka sasa yupo mikononi mwa Polisi akihojiwa kuhusu mienendo ya uendeshaji wa blogu yake na mitandao mingine ya kijamii.
View attachment 268836
Mange alipokwenda kuchukua fomu ya Ubunge wa jimbo la Ubungo kabla ya Kukamatwa na Kupelekwa Rumande
View attachment 268837
Mange akiingizwa Gari LA makachero kuelekea rumande
View attachment 268838
Akiwa ndani ya Gari jeusi kuelekea polisi
Ulikuwepo eneo la tukio, au ndio wote tuseme mana humu JF wote wajuaji kisha hamjioni kazi kusema ya wenzenu ya kwenu mmeyakalia. Mume wa Shamim ni drug Lord na anajulikana ht kwenye list ya majina waliotajwa na wafungwa wa China ametajwa.
Sababu wabongo mmezoea kusifia ujinga na hamtaki kuambiwa ukweli, mtu anauza unga na anamaliza vizazi vya Kutanzania, anajiamini na anadai nchi haina sheria eti mnamsifia amefanya vizuri mana hakutoa bastola. Mlikuwepo eneo la tukio au ndio sema usikike.
Halafu mnataka maendeleo, mmekalia umbea na kusifia ujinga ili muweke heshima mjini, badala ya kuondoa huo ujinga na ufusadi kwa mikono yenu miwili.
Mange ana matatizo yake, lakini hili la kukemea wauza madawa na kukemea ufusadu nilitegemea mngemuunga mkono lkn mmekuwa mbogo. Yani hadi huruma nyie mnaojiira wasomi wa JF.Ufisadi utaisha kwa kuwatukuza hao wanaowamaliza, hebu amkeni wa Tanzania na muanze kuwa ns fikra mana ni aibu
Hao ndio wanaomtia ujinga,na issue zake anajimix sana,mara atukane familia za watu,mara wauza ngada,mara anataka ubunge.sijui ni bangi ama nini maana haeleweki.
kuongelea mambo ya unga ni kete tu anacheza.
ameumiza watu wengi sana huyu mwanamke kiukweli anahitaji kuchukuliwa hatua hasa.
im just feeling sorry kwa yule mtoto yuko abandoned na watu hawajui vizuri sa hii mama haonekani.
shame
Na huyo Mboni aliemshitaki nae ni drug lord?
Mbona hajapandishwa difenda kama wengine???