Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

If this is true, then "Free Mange Kimambi".

I am not a fan of Mange. I am a fan of Freedom of Speech.

This just elevates Mange beyond her current status.

Brother kwanza tujue ni kwa nini kawekwa ndani huyo mwanamke!!!
Pili kama ni mambo ya Defamation then the STATE has no power to intervene,...its strictly civil law.
Waliotukanwa ndiyo inabidi wamshitaki,....

ameshtakiwa na MBONI for defamation hayo mengine anatafuta sympathy tu ya jamii
 
ameshtakiwa kwa kumtukana mboni masimba matusi na kumdhalilisha mboni na mwanawe na nsembo hajamtishia bastola kamtia vibao vya usoni kidogo tu...!!!
Those are all part of the package for what she had been cooking in her kitchen, si kila saa alikuwa ni mgovi saa zingine pia ukisoma unaona alikuwa anachokozwa (atleast kwa mtazamo wa sie wasomaji tusio wajua vizuri hao watu aliokuwa anagombana nao na historia yao) either way lazima ujue mipaka yako.

Huyu Nsembo kila mtu alijua lazima akikutana nae something will happen, its just natural kwa jinsi alivyokuwa amemshupalia kulikuwa na outcome mbili polisi wamshike Nsembo au Nsembo amtie adabu Mange (chances za kumu ignore zilikuwa chache kwa sababu she kept mentioning his name all the time).

Anyway I hope atoke salama ila hii kitu impe mtazamo mpya ya uhalisia wa mambo Tanzania, unatafuta ugomvi na JK kwenye nchi raisi anawapambe chungu mzima atakama anashida na wewe kuna watu watachukulia huo utovu wa nidhamu their business.
 
ameshtakiwa kwa kumtukana mboni masimba matusi na kumdhalilisha mboni na mwanawe na nsembo hajamtishia bastola kamtia vibao vya usoni kidogo tu...!!!

Ulikuwepo eneo la tukio, au ndio wote tuseme mana humu JF wote wajuaji kisha hamjioni kazi kusema ya wenzenu ya kwenu mmeyakalia. Mume wa Shamim ni drug Lord na anajulikana ht kwenye list ya majina waliotajwa na wafungwa wa China ametajwa.
Sababu wabongo mmezoea kusifia ujinga na hamtaki kuambiwa ukweli, mtu anauza unga na anamaliza vizazi vya Kutanzania, anajiamini na anadai nchi haina sheria eti mnamsifia amefanya vizuri mana hakutoa bastola. Mlikuwepo eneo la tukio au ndio sema usikike.

Halafu mnataka maendeleo, mmekalia umbea na kusifia ujinga ili muweke heshima mjini, badala ya kuondoa huo ujinga na ufusadi kwa mikono yenu miwili.

Mange ana matatizo yake, lakini hili la kukemea wauza madawa na kukemea ufusadu nilitegemea mngemuunga mkono lkn mmekuwa mbogo. Yani hadi huruma nyie mnaojiira wasomi wa JF.Ufisadi utaisha kwa kuwatukuza hao wanaowamaliza, hebu amkeni wa Tanzania na muanze kuwa ns fikra mana ni aibu
 
ameshtakiwa na MBONI for defamation hayo mengine anatafuta sympathy tu ya jamii

Then amlipe that Mboni,.....
Haya mengine ya serikali kumkamata ni Bolshevism isiyo na mantiki
 
Ulikuwepo eneo la tukio, au ndio wote tuseme mana humu JF wote wajuaji kisha hamjioni kazi kusema ya wenzenu ya kwenu mmeyakalia. Mume wa Shamim ni drug Lord na anajulikana ht kwenye list ya majina waliotajwa na wafungwa wa China ametajwa.
Sababu wabongo mmezoea kusifia ujinga na hamtaki kuambiwa ukweli, mtu anauza unga na anamaliza vizazi vya Kutanzania, anajiamini na anadai nchi haina sheria eti mnamsifia amefanya vizuri mana hakutoa bastola. Mlikuwepo eneo la tukio au ndio sema usikike.

Halafu mnataka maendeleo, mmekalia umbea na kusifia ujinga ili muweke heshima mjini, badala ya kuondoa huo ujinga na ufusadi kwa mikono yenu miwili.

Mange ana matatizo yake, lakini hili la kukemea wauza madawa na kukemea ufusadu nilitegemea mngemuunga mkono lkn mmekuwa mbogo. Yani hadi huruma nyie mnaojiira wasomi wa JF.Ufisadi utaisha kwa kuwatukuza hao wanaowamaliza, hebu amkeni wa Tanzania na muanze kuwa ns fikra mana ni aibu

wewe mi nimempinga kukemea madawa kwani?

ameshtakiwa kwa defamation na mboni masimba....
sawa dadaaaaaa....shamim hajashtaki mtu!!
wala nsembooo...

ushauri tu nendeni mkamlee kenzo kule mbezi au mkalale pe oysterbay pamona nae...!!

MBONI FUNGA HUYOO MTU..!!
 
Kabisa, Free Mange kimambi Lowerly.
anasema ukweli, watu,hawapendi..
 
Tatizo anaweza kuachiwa kwa kukosekana ushahidi wa kutosha! Hivi mboni ali print yaliyo andikwa?Halafu cyber law bado haijatungiwa kanuni elekezi kwa hiyo anaweza kuachiwa japo lazima atakoma kutukana watu mitandaoni!

Mtu kama huyu ni bora kumtandika bakora kabisa kuliko kumpeleka polisi au yule aliye mshikia bastola ange muwasha ya mguu ndio itakuwa funzo!

Hahahahaaaaaa.
 
heyy wapambe wake hamna aliyeenda kulala nae pale ostabei polisiiii...??!!!!!

Hao ndio wanaomtia ujinga,na issue zake anajimix sana,mara atukane familia za watu,mara wauza ngada,mara anataka ubunge.sijui ni bangi ama nini maana haeleweki.
kuongelea mambo ya unga ni kete tu anacheza.
ameumiza watu wengi sana huyu mwanamke kiukweli anahitaji kuchukuliwa hatua hasa.
im just feeling sorry kwa yule mtoto yuko abandoned na watu hawajui vizuri sa hii mama haonekani.
shame
 
If this is true, then "Free Mange Kimambi".

I am not a fan of Mange. I am a fan of Freedom of Speech.

This just elevates Mange beyond her current status.

Cc Nyani Ngabu

Hell Noo!
There is no freedom without limitations!Every human right is subject to exceptions and limitations.
 
Wote tunafanya cyber bullying kwa namna moja au nyingine. Ni wangapi jukwaa la celebrity wanajadili mambo ya ndani kabisa ya kuumiza hisia za watu maarufu? Mange amekosea km wengi wetu tunavyokosea. Asiye na dhambi aendelee kumpiga mawe...
Tuzidi kuweka wazi mambo binafsi ya watu ila ipo siku tunaokushabikia/wanaonishabikia hawatakuwepo. Pia Kumbukeni kuna hesabu ya kila jambo utakapofika kwa Mungu wako liwe jema au baya.
 
View attachment 268666

Blogger Mange Kimambi wa u-turn Blog ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam.

Polisi wamemkamata wakati ameenda kuchukua fomu ya kutia nia kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwenye moja ya majimbo ya jiji la Dar.

Mpaka sasa yupo mikononi mwa Polisi akihojiwa kuhusu mienendo ya uendeshaji wa blogu yake na mitandao mingine ya kijamii.

View attachment 268836

Mange alipokwenda kuchukua fomu ya Ubunge wa jimbo la Ubungo kabla ya Kukamatwa na Kupelekwa Rumande

View attachment 268837
Mange akiingizwa Gari LA makachero kuelekea rumande

View attachment 268838
Akiwa ndani ya Gari jeusi kuelekea polisi

Mbona hajapandishwa difenda kama wengine???
 
Ulikuwepo eneo la tukio, au ndio wote tuseme mana humu JF wote wajuaji kisha hamjioni kazi kusema ya wenzenu ya kwenu mmeyakalia. Mume wa Shamim ni drug Lord na anajulikana ht kwenye list ya majina waliotajwa na wafungwa wa China ametajwa.
Sababu wabongo mmezoea kusifia ujinga na hamtaki kuambiwa ukweli, mtu anauza unga na anamaliza vizazi vya Kutanzania, anajiamini na anadai nchi haina sheria eti mnamsifia amefanya vizuri mana hakutoa bastola. Mlikuwepo eneo la tukio au ndio sema usikike.

Halafu mnataka maendeleo, mmekalia umbea na kusifia ujinga ili muweke heshima mjini, badala ya kuondoa huo ujinga na ufusadi kwa mikono yenu miwili.

Mange ana matatizo yake, lakini hili la kukemea wauza madawa na kukemea ufusadu nilitegemea mngemuunga mkono lkn mmekuwa mbogo. Yani hadi huruma nyie mnaojiira wasomi wa JF.Ufisadi utaisha kwa kuwatukuza hao wanaowamaliza, hebu amkeni wa Tanzania na muanze kuwa ns fikra mana ni aibu

Na huyo Mboni aliemshitaki nae ni drug lord?
 
Hao ndio wanaomtia ujinga,na issue zake anajimix sana,mara atukane familia za watu,mara wauza ngada,mara anataka ubunge.sijui ni bangi ama nini maana haeleweki.
kuongelea mambo ya unga ni kete tu anacheza.
ameumiza watu wengi sana huyu mwanamke kiukweli anahitaji kuchukuliwa hatua hasa.
im just feeling sorry kwa yule mtoto yuko abandoned na watu hawajui vizuri sa hii mama haonekani.
shame

Hii idea ya ubunge sijui nani alimpa maskin ya mungu? Bora angebaki LA aendelee na kibod yake ya u turn
 
Ulikuwepo eneo la tukio, au ndio wote tuseme mana humu JF wote wajuaji kisha hamjioni kazi kusema ya wenzenu ya kwenu mmeyakalia. Mume wa Shamim ni drug Lord na anajulikana ht kwenye list ya majina waliotajwa na wafungwa wa China ametajwa.
Sababu wabongo mmezoea kusifia ujinga na hamtaki kuambiwa ukweli, mtu anauza unga na anamaliza vizazi vya Kutanzania, anajiamini na anadai nchi haina sheria eti mnamsifia amefanya vizuri mana hakutoa bastola. Mlikuwepo eneo la tukio au ndio sema usikike.

Halafu mnataka maendeleo, mmekalia umbea na kusifia ujinga ili muweke heshima mjini, badala ya kuondoa huo ujinga na ufusadi kwa mikono yenu miwili.

Mange ana matatizo yake, lakini hili la kukemea wauza madawa na kukemea ufusadu nilitegemea mngemuunga mkono lkn mmekuwa mbogo. Yani hadi huruma nyie mnaojiira wasomi wa JF.Ufisadi utaisha kwa kuwatukuza hao wanaowamaliza, hebu amkeni wa Tanzania na muanze kuwa ns fikra mana ni aibu

Wewe utakuwa ni mgonjwa mwenzie wa akili, hivi unamuina huyi boss wako mzima kweli? Mtu katangaza kakosana na watu zaidi 30 tena kwa maandishi yake mwenyewe na yeye anawaanika hao watu kisa ana blog? Yani naomba wote alowatukana wamshitaki ili afungwe kabisa! Kafanya watoto wadogo waige tabia za kutukana watu mtandaoni wakijua mbina Mange anatukana na hakuna wa kumfanya lolote, halafu anaenda kuchukua form za kugimbea ubunge kupitia chama ambacho kamtukana hadi mh raisi ambaye yupo kwenye chama hicho hicho kweli kuwa na degree sio kuwa intelligent.
 
Back
Top Bottom