Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Damn..all those charges? Sounds like she's in some deep doo doo.

But then again, this TZ.
 
Hapana, abaki ndaniiiii

Mange anatumikia zamu yake...usipoacha kule chini ujue zamu inakuja. Nakuambia manake serikali haijalala. Kuna watu wamewekwa special kwa hiyo kazi. usishangae siku wako mlangoni/getini kwako wanakuonesha vitambulisho
 
Nikiripoti kutoka insta...
 

Attachments

  • 1437145880305.jpg
    55 KB · Views: 433
wacopy mara moja maeneo aliyowakashifu kabla hajafuta maanake huo ndio utakuwa ni ushahidi wao.
 
watu ni wanafiki sana. kwahyo wanaunga mkono shut up law? sababu wanataka maovu yao yasijulikane!

#saynotocybecrimelaw

#supportmange

We mpumbavu mamako akiandikwa au kuchafuliwa kwenye mitandao utajisikiaje?? Hao mnaoshabikia wakiandikwa huko na huyo kichaa kumbuka wana watoto na ndugu zao. Hata kama watoto wao ni wadogo kumbuka maneno ya kwenye mitandao yatabaki for generation and generations..

Hata kama hayo yanayoandikwa yana ukweli au lah, ajaribu kuheshimu privacy za watu. Kuandika EL ni fisadi hakuna shida ila kumwandika mke wa Mengi sijui alikuwa anatembea na nani na nani sijui huwa inampa relief gani yeye pamoja na hao wanaomsoma
 
Wadau naomba muwe mnatoa updates za hii kesi naona ina wadau wengi kuliko wale waliokuwa wanafatilia sakata la Lowassa
 
utajua mwenyewe na kingereza chako cha kwalaghai mademu wa jf, kwamba uonekane msomi sana kumbe fongoso tu!

Hahahahaha hapa kushanuka Android Vs Nyani Ngabu kwamba kiinglish nacho kimekua tatizo hahaha
 
Inawezekana akisikia habari za Tz na akiangalia bunge kupitia youtube akiwa malekani basi anaona kuwa mbunge ni kazi lahisiiiiiiii...
Akajishawishi kuja kuchukua fomu

Jimbo lenyewe Ubungo atii, duh, kweli ana malezi makengeza, anyway kwani hakuwa na influence ya kuepuka kutokuwa na akili mgando
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…