Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Upuuzi mtupu..mange,mange,..wakati kuna mambo mengi ya muhimu kujadili yanayolikabili taifa letu.
 
Noona Umeniita , nimekuja , swala sio kumtoa swala ni kuona Sheria inafanya kazi yake kwa sababu ni yeye tu ndio anasema watu :A S angry:
1-Ukienda kwa Jirani kila siku kuna mtu anamdharirisha Wema mara ohoo Michirizi/Malaya na mengine ya Binafsi Meeengi mbona hamlalamiki ??
2-Ukiingia Hapa JF watu kutwa mnawasema watu kwa mambo Binafsi , Mlimsema Waziri wa Mbuga zetu kazaa na Msanii wakati Mkijua anamke mwenye Moyo kama nyie ! Mbona hamkushikwa ?? achilia mbali Wanasiasa kutwa kutukanwa mara ukoo wa Panya , na mambo meengi woote tunayafahamu

Jamani tuache Unafiki , kama swala ni kusema Hovyo Mitandao yooote inakiuka hiyo kasoro Michuzi na Milard tu , Tuache Unafiki Wabongo , Walau yeye Pamoja na hayo huwa kuna ya Maaana anauthubutu wa Kuyasema .....Msimsakame upande mmoja tu , Tuwe Wa Kweli Kabisa , na kitu Kizuri Hajifichi ...By the way Mange anafamilia kubwa atakapohitaji Mchango wetu , tupo Tayari

WAZIRI WA MAMBO YA NDANI NA USTAWI WA U-TURN

hahaaahhhaaaa..!!mi siko bias nowdays namkubali wema sana tu
ila ndo tukone tena jela nje nje anaanza ye kubwa la maadui then ndo sie tutafuata..!!
 
Si bora ukae kimya Ndoroboooooo weeee

Kaa kimya you mnakuja na mistress yenu kuchokonoa watu kutafuta kiki

Na mie najifunza lugha humu humu, now shika yako sepa kimbia kabisa.

Ndoboroooo kwani hauichezi wewe, wahi na koma kunitafuta.
 
Sijui jinsi ya kutuma attachment watu wali screen shot alivyosema January Makamba kahusika halafu kakafuta, sasa huyu mtu ni wa kuonea huruma? Ebu nijulishe nai attach vipi maana inakataa

km unatumia application ya jf nenda kuna kimshale na vialama v3 bonyeza vile vialama pale kuna attachement so we nenda kwny attachement pale then weka humu tuone ushuzi wake
 
Hizi akili sijui mnashikiwaga na nani... Hayo unayoyaonge ni ya juzi tu, hukuyaona aliyokuwa anayafanya siku zilizopita?? Kama anaandika habari zake, kwanini aingilie privacy za watu ambazo zimeshapita na labda wenyewe kwenye situation waliyopo sasa hawataki vifike kwenye jamii. Kusema Makamba alikuwa anatembea na Jack kulikuwa na maana gani??

Hiyo blog yake imekuwa ikiwatukana watu bila sababu za msingi.. Mfano tu ni Diamond na Zari, Diamond alimfanya nini huyo mwanamke?? Maana from no where alianza kumtukana na kumtukana yule Zari ambae ni mjamzito, huo ndio ushujaa?? Hivi unajua kwanini Vodacom walijitoa kudhamini blog yake?? Wanawezaje from no where kujitoa kudhamini wakati ilikuwa moja ya blog zenye followers wengi?? Huoni kwamba hata wao waliona kuna shida??

Wanawake hapa mnamtetea huyo mtu kwa sababu moja tu, mnaumia mtapata wapi umbeya iwapo huyo mtu akichukuliwa hatua..


Sawasawa kabisa
 
nasemaje funga kenge wote wanaotukana mitandaoni tutaheshimiana tu mwaka huu...!!
sura imemshuka na huyo kiria anajitoa fahamu tu!!

hahahaaaaaa....saaaffff na bado hapo!!huo mwanzo tu
kenge mmoja tu weweee....ndo nani labda utukane na kusababisha familia zitengane
mxiuuuiuuuuuuuu...tupa kuleeee....
 
Keep going mange you have our support kwenye vita ya madawa ya kulevya na uhuru wa vyombo vya habari , hata mandela alisumbuliwa na vyombo vya sheria lakini hakusita kupigania anachoamini

She has your support behind keyboard!
 
Mange anatumikia zamu yake...usipoacha kule chini ujue zamu inakuja. Nakuambia manake serikali haijalala. Kuna watu wamewekwa special kwa hiyo kazi. usishangae siku wako mlangoni/getini kwako wanakuonesha vitambulisho

hahaaa mchuma janga..
hula na wa kwao bibieee....
hata mie wanifunge tu..!!!nkidhalilisha mtu au watu huoni siku hizi nnavyomkubali wema kiaina...
 
We mpumbavu mamako akiandikwa au kuchafuliwa kwenye mitandao utajisikiaje?? Hao mnaoshabikia wakiandikwa huko na huyo kichaa kumbuka wana watoto na ndugu zao. Hata kama watoto wao ni wadogo kumbuka maneno ya kwenye mitandao yatabaki for generation and generations..

Hata kama hayo yanayoandikwa yana ukweli au lah, ajaribu kuheshimu privacy za watu. Kuandika EL ni fisadi hakuna shida ila kumwandika mke wa Mengi sijui alikuwa anatembea na nani na nani sijui huwa inampa relief gani yeye pamoja na hao wanaomsoma

wanaomsapiti wote hawajielewi au kisaikolojia kuna kitu wamelack even though wanajiona wako sawa
mi nashauri serikali impeleke straight milembeee.....!!au segadansiiiii...!!#
 
wanaomsapiti wote hawajielewi au kisaikolojia kuna kitu wamelack even though wanajiona wako sawa
mi nashauri serikali impeleke straight milembeee.....!!au segadansiiiii...!!#

Wacha tu yamkute.
Yalomkuta Kibeku na ungo yatamkuta, dougiemchawi alibadili mwelekeo alipoona kagundulika yeye ndio.janety33
 
She has your support behind keyboard!

Hawa ndio humtia kichaa na kumjaza ujinga.
Wao wakilala usiku na mabwana zao kimyaa, yeye anakesha kuwaza nani amchafue.
Na mbona hawakumwekea zamana wao?
Mbona hawakutokea pale obey, hawa marafiki vivuri ndio humsaidia kutukana wengine wakipewa zawadi za pants alizokwisha kuzitumia.
 
Yaani naona wengi tumempita ila duh nimecheka sana sana ulivyoyaandika na yamemnasa sasa.

Hahahaha hajui maana ya boya nimeona nimpe mapeeeemaaa halafu kuna mwingine hapa kasema wew carrie ni mange naomba umpe vyake mapeeeema
 
Last edited by a moderator:
Hawa ndio humtia kichaa na kumjaza ujinga.
Wao wakilala usiku na mabwana zao kimyaa, yeye anakesha kuwaza nani amchafue.
Na mbona hawakumwekea zamana wao?
Mbona hawakutokea pale obey, hawa marafiki vivuri ndio humsaidia kutukana wengine wakipewa zawadi za pants alizokwisha kuzitumia.
Nina wasiwasi na jinsia yako kama kweli ni me..
 
Back
Top Bottom