Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

sure wao km wanawake mbona hatukuwaona pale obei leo hahahaaaa wamebaki nyuma ya keyboard km mie hapa hahaaaaaaaahawaawaaaaaahhaaa
Hawa ndio humtia kichaa na kumjaza ujinga.
Wao wakilala usiku na mabwana zao kimyaa, yeye anakesha kuwaza nani amchafue.
Na mbona hawakumwekea zamana wao?
Mbona hawakutokea pale obey, hawa marafiki vivuri ndio humsaidia kutukana wengine wakipewa zawadi za pants alizokwisha kuzitumia.

yule kiherehere mbona kinamuisha nhie twendeni tu
Afungwe tu.. Maana hamna namna sasa
 
She is so wicked lock her away and throw the key in the middle of the ocean anakandia bongo alafu leo anautaka ubunge my foot

Hahahaaa lol!
#bintikimambi inabidi ajue mipaka yake katika kile anachokiita freedom of speech! She is too bitter and biased!
Hajawahi kuwagusa au kuwagusia watu wenu wa karibu ndo maana mnamtetea, blog yake imekuwa ya kuanika family matters za watu WTF!
 
Master za kule ndio zimejenga huo mji dubai. Huwezi kuzilinganisha na za mzumbe au st. Nanihii.
Ni kiboko ya mafisadi na wauza unga. Yeye nyeupe huita nyeupe tu....haiegeuzi kuwa njano

Hujui ulisemalo
Endelea kulopoka na ulimbukeni huo
 
Hahahaaa lol!
#bintikimambi inabidi ajue mipaka yake katika kile anachokiita freedom of speech! She is too bitter and biased!
Hajawahi kuwagusa au kuwagusia watu wenu wa karibu ndo maana mnamtetea, blog yake imekuwa ya kuanika family matters za watu WTF!

mi kashagusa my family friends two times tena si issue za madawa haya maujinga ujinga yake ya kurukia watu
since hapo nnamdiss mmoja hadi leo ndoa yake inaning'inia kwenye km henga vile

leo nimefurahi sana yaani bas tu hawajui watu
niko busy ila imenibidi niingie tu jf kushangilia anguko lake
 
sure wao km wanawake mbona hatukuwaona pale obei leo hahahaaaa wamebaki nyuma ya keyboard km mie hapa hahaaaaaaaahawaawaaaaaahhaaa

yule kiherehere mbona kinamuisha nhie twendeni tu

teh teh teh unatamani wewe ndio ungekuwa OCD wa hicho kituo cha Obey.. Mbona angelia Idd ndani teh teh
 
mi kashagusa my family friends two times tena si issue za madawa haya maujinga ujinga yake ya kurukia watu
since hapo nnamdiss mmoja hadi leo ndoa yake inaning'inia kwenye km henga vile

leo nimefurahi sana yaani bas tu hawajui watu
niko busy ila imenibidi niingie tu jf kushangilia anguko lake

Upo wapi nikupige bia mbili tatu za furaha...?
 
Huyu dada mimi nimempenda, umbo lake, sura yake, ujasili wake, anafaa kuwa mke kabisa, mwenye namba zake ani-PM tafadhali, nitajisikia mwenye furaha na huru kabisa
 
Duh!! Kuanzia komenti ya kwanza hadi hiyo hapo juu yangu ni kina Mama? Ina maana sisi kina Baba haituhusu?
Aisee....!!! kumbe Uturn yaweza kuwa Umbea-Geuka..kweli..! Nimeenda huko Umbea geuka; sasa kwa hisani ya "USINMENTION!" wa Umbea Geuka naliweka bandiko linalohusu umbea wa 'MD kama wa selina dioni' . Kumbukeni hata Putin alisema maisha bila umbeya hayaendi na hayana radha. Mpaka sasa sijakubaliana naye kwa asilimia ...!

Twende kazi na mwandishi matata wa umbea anayekwepa kitanzi cha sheria ya mitandaoni.

-By USINMENTION!

Mie najua full gazeti ya ishu hii… Kwasababu bi- dada ni rafiki wa rafiki yangu. Sasa mwaka juzi Dec, mwanadada wa B*ng! alituma barua ya maombi kuwafanyia interview na kuwapiga picha Bidada wa machache na Mzee machache na mapacha wao. Kitu ambacho kilikubaliwa …Maana Bi dada wa B*ng! si mshari, hivyo huwa anaomba kwa ustarabu kufanyiaga watu interview. Yeye si Mdaku. Sasa Mzee machache na mkewe wakakubali na kukaribisha team ya B*ng! kufanya kazi yao. Picha zilipigwa na interview ikafanyika, na juice wakapewa. ila wakaambiwa ikiwatayari ile interview watumiwe waikague na picha waziangalie kwanza na wachague. Ingawa ilikuwa ni kinyume cha policy ya B*ng! wakaamua kumtumia kwa heshima na taadhima, isije ikawa shida.
Sasa walivyo tumiwa wakadai picha hawakuzipenda, na zilikuwa portrait za familia, taken with a profesional photographer. Mwanamama wa B*ng! aligharamia sana picha hizo, hivyo alisikitika kusikia hayo, ila akawaoffer kupiga picha tena, Mzee machache akawa ana safari kisha familia yotte ikaenda afrika ya kusini. Waliporudi, Bi dada akatuma barua nyingine kuwaomba waset siku ya kupiga picha ili watoe gazeti Valentine ya 2014. Sasa kilichotokea, bidada hakujibiwa na zile picha alizo wapiga zikatumika kwenye instagram ya mama Machache.
Mama B*ng! akamconfont mama machache kuwa amekosea kuzitundika picha IG, bila idhini yao, isitoshe wao walilipia picha hizo na kwamba itawalazimu wazilipie na kulipia interview ama itabidi Bi dada wa B*ng! aendelee na kupublish the article. Mama Machache alijibu kwa kebehi na kilichofuata, hakuna malipo yaliyo fanyika.

Hivyo basi, kwakua makubaliano ya awali yalikuwa ni kupublish story kwenye jarida la B*ng! na walisha kubaliana awali kuwa kazi ifanyike. Bidada wa B*ng! akapublish article Valentine ya mwaka huu. Aliwapa mda wa mwaka mzima walipie ama waongee na haikutokea, so akafanya kazi yake.
Ila badala ya familia ya machache kumshukuru kwa interview nzuri aliyo ifanya na kuwapamba sana, akakutwa anakuwa sued na cort ikitoa injuction asisambaze majarida yake.
Je hii ni haki kweli???

Namtetea Mange kwenye freedom ya kuongea. Sasa kama huyo January Makamba kaamua kumuweka ndani sababu ya kuongea ukweli amebug step.
Ukiwa kiongozi uwe tayari kukubali kuzungumziwa mzuri na mabaya.

Twende kazi Mange hadi wenyewe waache huru watu tuzungumze. Ulaya na marekani kuna freedom ya kuongea,halafu hichi kinchi kijiji Tanzania watu tufungwe mdomo!

Sasa january Makamba kaingiaje hapo?acheni ulimbukeni nyie
 
mi kashagusa my family friends two times tena si issue za madawa haya maujinga ujinga yake ya kurukia watu
since hapo nnamdiss mmoja hadi leo ndoa yake inaning'inia kwenye km henga vile

leo nimefurahi sana yaani bas tu hawajui watu
niko busy ila imenibidi niingie tu jf kushangilia anguko lake

Yani ameshapost.
Analalamika anasema January is behind all of this.
#Obssesed nimeona kwa mrekebisha tabia.
 
mi kashagusa my family friends two times tena si issue za madawa haya maujinga ujinga yake ya kurukia watu
since hapo nnamdiss mmoja hadi leo ndoa yake inaning'inia kwenye km henga vile

leo nimefurahi sana yaani bas tu hawajui watu
niko busy ila imenibidi niingie tu jf kushangilia anguko lake

Ningeelezea how worse it was wakati amemuanika mtu wangu wa karibu, but let me spare my words na niendelee kujificha hukuhuku nyuma ya keyboard! Siku hiyo kuna rafiki angu alinambia ingia kwenye blog ya mange uone alichokiandika kuhusu mtu fulani, nilisoma kidogo pressure ipande, mpaka leo sijawahi kuingia tena kwenye hiyo blog yake.
Blog kuwa ya kudiscuss family matters za watu na kuachia comments kali pengine (zisizokuwa na ukweli) ndipo ugomvi wangu na mange ulipo!
Na aadhibiwe tu maana hakuna namna nyingine sasa!
 
teh teh teh unatamani wewe ndio ungekuwa OCD wa hicho kituo cha Obey.. Mbona angelia Idd ndani teh teh
yani leo angejuta yule ningemshikisha adabu
ningemake sure j3 mahakamani idd angelia nyuma ya ndondo bata yule...
halafu nsembo angemtia bakora yule mbili tatu hv vibao havikutosha
Nilitegemea wanaomsapoti wangemuandalia kapati fulani amaizing lkn holaaaa

wappiiiiii.....!!!chezea segera weweee
fyoko fyoko zile za kianonimus tu...!!!
ngoja kesho kwenye kiblog chake alete tena umbea aone
mi nasemaje tutaheshimiana tu mjini hapaa

hao wanaopenda umbea na unafki watajijuii
 
Huyu Mange ana bahati mbaya sana,,Serikali inatafuta mtu anaetukana mitandaoni wamfunge ili awe mfano kwa wengine kabla ya uchaguzi.. Na yeye ndio kashapatikana hivyo. Namuonea huruma ataenda JELA kabla ya uchaguzi mkuu october.
 
Nayapa baraka maneno yako.
Maana hamna Jinsi, tumechoka sasa.
 
Back
Top Bottom