utajua mwenyewe na kingereza chako cha kwalaghai mademu wa jf, kwamba uonekane msomi sana kumbe fongoso tu!
utajua mwenyewe na kingereza chako cha kwalaghai mademu wa jf, kwamba uonekane msomi sana kumbe fongoso tu!
Mange anatumikia zamu yake...usipoacha kule chini ujue zamu inakuja. Nakuambia manake serikali haijalala. Kuna watu wamewekwa special kwa hiyo kazi. usishangae siku wako mlangoni/getini kwako wanakuonesha vitambulisho
Teh Teh Boss utafungwa ..Nikiripoti kutoka insta...
Nimecheka sana kusoma hii comment yako na nimegundua hujui kinacho endelea! Hivi kuwatukana watu matusi ya nguoni kumbe ni haki? Mange ana andika matusi na kuwatukana matusi watu na wala haandiki facts..watu ni wanafiki sana. kwahyo wanaunga mkono shut up law? sababu wanataka maovu yao yasijulikane!
#saynotocybecrimelaw
#supportmange
Joyce Kiria nilikuwa namuona kidogo ana akili kumbe hamna kitu kabisa halafu bahati mbaya sijui kama ana fahamu ana tetea nini! Mange anashitakiwa kwakuwa anatukana watu mitandaoni tena matusi ya nguoni na wala si kwasababu huongea facts!Naona Mrs Kileo naye amenunua kesi!Joyce Kiria anatafuta kick kwenye mitandao had anaharibu sifa ndogo aliyonayo
Joyce Kiria nilikuwa namuona kidogo ana akili kumbe hamna kitu kabisa halafu bahati mbaya sijui kama ana fahamu ana tetea nini! Mange anashitakiwa kwakuwa anatukana watu mitandaoni tena matusi ya nguoni na wala si kwasababu huongea facts!
Tatizo la Mange ku ni ku attack watu!
Pole yako
Unanitafuta tu kuna nini hadi umenishupalia ka nini sijui, ndio maana sishangai ulaza.
Pole yako
Unanitafuta tu kuna nini hadi umenishupalia ka nini sijui, ndio maana sishangai ulaza.
AsanteeeNdio alilala aliingia jana katoka leo.
Teh Teh Boss utafungwa ..
Mbona unalialia?
Mimi nautafuta Mwezi tuu ndio muhimu kwa leo. Nikutafute wewe una lipi la ziada