Hawa ndio humtia kichaa na kumjaza ujinga.
Wao wakilala usiku na mabwana zao kimyaa, yeye anakesha kuwaza nani amchafue.
Na mbona hawakumwekea zamana wao?
Mbona hawakutokea pale obey, hawa marafiki vivuri ndio humsaidia kutukana wengine wakipewa zawadi za pants alizokwisha kuzitumia.
Afungwe tu.. Maana hamna namna sasa
She is so wicked lock her away and throw the key in the middle of the ocean anakandia bongo alafu leo anautaka ubunge my foot
Master za kule ndio zimejenga huo mji dubai. Huwezi kuzilinganisha na za mzumbe au st. Nanihii.
Ni kiboko ya mafisadi na wauza unga. Yeye nyeupe huita nyeupe tu....haiegeuzi kuwa njano
Hahahaaa lol!
#bintikimambi inabidi ajue mipaka yake katika kile anachokiita freedom of speech! She is too bitter and biased!
Hajawahi kuwagusa au kuwagusia watu wenu wa karibu ndo maana mnamtetea, blog yake imekuwa ya kuanika family matters za watu WTF!
Nina wasiwasi na jinsia yako kama kweli ni me..
sure wao km wanawake mbona hatukuwaona pale obei leo hahahaaaa wamebaki nyuma ya keyboard km mie hapa hahaaaaaaaahawaawaaaaaahhaaa
yule kiherehere mbona kinamuisha nhie twendeni tu
mi kashagusa my family friends two times tena si issue za madawa haya maujinga ujinga yake ya kurukia watu
since hapo nnamdiss mmoja hadi leo ndoa yake inaning'inia kwenye km henga vile
leo nimefurahi sana yaani bas tu hawajui watu
niko busy ila imenibidi niingie tu jf kushangilia anguko lake
Aisee....!!! kumbe Uturn yaweza kuwa Umbea-Geuka..kweli..! Nimeenda huko Umbea geuka; sasa kwa hisani ya "USINMENTION!" wa Umbea Geuka naliweka bandiko linalohusu umbea wa 'MD kama wa selina dioni' . Kumbukeni hata Putin alisema maisha bila umbeya hayaendi na hayana radha. Mpaka sasa sijakubaliana naye kwa asilimia ...!Duh!! Kuanzia komenti ya kwanza hadi hiyo hapo juu yangu ni kina Mama? Ina maana sisi kina Baba haituhusu?
Namtetea Mange kwenye freedom ya kuongea. Sasa kama huyo January Makamba kaamua kumuweka ndani sababu ya kuongea ukweli amebug step.
Ukiwa kiongozi uwe tayari kukubali kuzungumziwa mzuri na mabaya.
Twende kazi Mange hadi wenyewe waache huru watu tuzungumze. Ulaya na marekani kuna freedom ya kuongea,halafu hichi kinchi kijiji Tanzania watu tufungwe mdomo!
mi kashagusa my family friends two times tena si issue za madawa haya maujinga ujinga yake ya kurukia watu
since hapo nnamdiss mmoja hadi leo ndoa yake inaning'inia kwenye km henga vile
leo nimefurahi sana yaani bas tu hawajui watu
niko busy ila imenibidi niingie tu jf kushangilia anguko lake
mi kashagusa my family friends two times tena si issue za madawa haya maujinga ujinga yake ya kurukia watu
since hapo nnamdiss mmoja hadi leo ndoa yake inaning'inia kwenye km henga vile
leo nimefurahi sana yaani bas tu hawajui watu
niko busy ila imenibidi niingie tu jf kushangilia anguko lake
Huyu dada mimi nimempenda, umbo lake, sura yake, ujasili wake, anafaa kuwa mke kabisa, mwenye namba zake ani-PM tafadhali, nitajisikia mwenye furaha na huru kabisa
yani leo angejuta yule ningemshikisha adabuteh teh teh unatamani wewe ndio ungekuwa OCD wa hicho kituo cha Obey.. Mbona angelia Idd ndani teh teh
Nilitegemea wanaomsapoti wangemuandalia kapati fulani amaizing lkn holaaaa
dodoma huku maeneo ya nyumba mia tatuUpo wapi nikupige bia mbili tatu za furaha...?
Upo wapi nikupige bia mbili tatu za furaha...?
Huyu Mange ana bahati mbaya sana,,Serikali inatafuta mtu anaetukana mitandaoni wamfunge ili awe mfano kwa wengine kabla ya uchaguzi.. Na yeye ndio kashapatikana hivyo. Namuonea huruma ataenda JELA kabla ya uchaguzi mkuu october.
Alokwambia mimi ME nani?
Nabadilika badilika jinsia kulingana na hali ya hewa.
Nisikuchoshe buree