Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

mbona hii habari sio current inaonekana imetolewa 2015 hata tulikua hatujapiga kura
 
kwa alivyomchambua makondakta, hadi watu waliamini kweli punga kumbe uzushi tu, jamaa kanywea kaamua kunyamaza kimya tu. angekuwa mtu mwingine kwa uzushi ule angeshachukua kamba. kuambiwa punga na wewe ni public figure tena mwenye mke si kitu kidogo ati.
 

Kwa kudundwa na mumewe
Bibie kamgeuka kama vile hakumsaidia alivyokuwa selo... eeeeh maisha
 
Mange ametoka mbali.. nilishasahau haya ya 2015.. hadi nimekumbana na huu uzi tena mwaka huu.
 
Kumbe huyu dada alianza kitambo kitambo haya mambo ukweli mimi nimemfahamu zaidi kuanzia mwaka jana ...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…