Mange kajikuta mfadhili wake wa maishani mwake aliyemtupa huko kujilalia na kujiamkia na ma stress Bibie Mwammy yupo Dar na yeye yupo mjini hajatafutwa hata kwa kitone cha maji na anakula bata na mashosti wake wote wa zamani
basi huyo kaibuka na kusema sasa anaanza kuwavumbulia siri zao hapo ni kutoa mambo yao ya kuwaumbua
tunakumbuka yeye ndie alialikwa na kupiga mapicha na kuyarusha kuwa nyumba ya Mwammy akapewa vipande kwa kumuonyeshea kwa watu akabidi ashushe mapicha ili asimuonyeshee kwa watu
haya akashusha mapicha hayo ila wadaku wakaziwahi hizoooo na humu zipo, ila duh nakumbuka Mange alisifia nyumba utazani alilipwa kuandika aliyoandika...sasa nakuja kuwa iweje wewe uliyeongelea hadi bei aliyoyonunua na leo unaibuka na kusem ni ya nani sijui nani...kwa hiyo ndio unatuonyeshea kuwa wewe ulikuwa unajigonga kwa Mwammy sababu ulikuwa haumjui yaani alikuwa akuweki kama rafiki wa kukupa habari zake za kiundani au? mbona ulikuwa shuti unakuwa kama vile nyie mmezaliwa pamoja kumbe ulikuwa omba omba mkubwa hadi biashara ya nguo imekufa sababu ulikuwa unapata msaada kutoka kwake. leo hii ndio maana umeamua kujiuzia dukani tu na hata leo kushusha bei ya nguo sababu watu hawanunui kama ulivyotegemea.
ila wewe unahitaji msaada unafanya hao wajinga wanaokufata ndio wakushadadie halafu kwa shida unalia hauoni watu, tena na Mwammy kuwa mjini ndio umeingia kichaa kabisa hadi unadanganya wajinga wakuonee huruma eti mtoto anaumwa eti hayupo marekani, sasa kweli wewe kama ni mama na unaumia mwanao kuumwa sana na hauna pesa si ungekuwa muhimbili umelala usiku kucha kuomba wamtibu kwanza na ulipe bili baadae au? unataka mdanganya nani kwa kuandika ujinga eti unauguliwa mtoto huku upo busy unauza nguo na kufurahia pesa.
ila mwanamke weye umekipata mwaka huu yaani hadi lazima unajija.mbia ndani kwa ndani. mtoto anaumwa unajifanya hauna pesa haujui umejionyesha unadanganya kwani wale waliokununulia tiketi uje ugombanie ubunge wapo wapi? eeh wale waliokuwa wanakupa info za kuchafua wazee na kukuahidi mambo mbona hata mahakamani sijui polisi hawakukusaidia?
na mie nakuandikia gazeti, uache ujinga wako wa kufata maisha ya marafiki zako na lolote unalololilia litakutokea naona haujifunzi kabisa mpishi kama sijui linini wewe mwanamke wivu utakumaliza
ila nimefurahi umelipata mwaka huu pole yako na udaku wako endeleza ni maisha yako ila umekionja eeeehhhhh duh
haya Mwammy ndio karusha mipicha yupo mjini na wewe kibaraka wake ndio kakusahau kabisa, anakula bata weye unauza nguo za wachina wanazoshonesha kule LA kwenye maeneo yako. sasa kweli hadi 30k labda tafuta kazi ya kupigia tarumbeta CCM washinde ila ya maisha ya watu unajichimbia kila binadamu atakaloliona kwa muda wake.
mwanamke wivu khaaaa, bado nacheka ulivyoipamba nyumba ile na leo haujaalikwa kulala basi unalia lia, ulidhani Mwammy atakualika ukalale kuwa kaja Dar kwani wewe na kaka yake na marafiki zake nani zaidi? kaa na kudoda Tanzania imekuonyesha uwiiiiii pole
na ukome kumtafuta Zari na Diamond bora ulifuta post maana wivu wako nenda kamlambe miguu mwammy basi unaumiaaa na wivu. kahaab wa Dubai weye