Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kiboko ya Mange alikua DMV.
Nimesoma na mwammy kifungilo very smart girl ,down to earth na kwa kweli Hana makubwa ya hivyo .Extremely nice and loyal too.Hakuwa rafiki yangu ila alikuwa na akili mnooo na watu wengi walimjua na sr fidesta alimpenda na kumwamini mnoo.
Huyo mange kachanganyikwa haswa, juzi hapa alikuwa analia aruhusiwe kwenda USA mwanae mgonjwa bongo hawezi mtibu DR. wake yuko kule, mara kaja na sale anauza mpaka fenicha za ofisi, ofisi imemshinda anafunga, leo tena kaamka na Mwamvita anamchambua, sijui kapagawa na nn huyu, ndugu zake wakae nae karibu atajilipua kama babake.
Count me inI like her already!
Duuuuuu nomaaaa kumbe alikaa ndani wiki??? Nilikuwa sijazipata hizo nyeti,sasa kwanini anaendelea kuwatukana wakina makamba.juzi kamuweka mwamvita na kaachia comments kuwa mwammy anatembea na presidaa wa nchi ya jirani.hivi haogopi huyu mwanamke?hawaonei huruma watoto wake? Anawapenda kweli??? Mweeeeeee alipotoka huko ndani ndio kaja kuandika tena kwenye blog chaaaaaaa sasa huyo mama yake dr.mwele kwanini asimshauri atulie na aombe msamaha wa wazi?? Duuuuu atahenya hii ndio tanzania
Imefikia wapi ?View attachment 268666
Blogger Mange Kimambi wa u-turn Blog ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam.
Polisi wamemkamata wakati ameenda kuchukua fomu ya kutia nia kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwenye moja ya majimbo ya jiji la Dar.
Mpaka sasa yupo mikononi mwa Polisi akihojiwa kuhusu mienendo ya uendeshaji wa blogu yake na mitandao mingine ya kijamii.
View attachment 268836
Mange alipokwenda kuchukua fomu ya Ubunge wa jimbo la Ubungo kabla ya Kukamatwa na Kupelekwa Rumande
View attachment 268837
Mange akiingizwa Gari LA makachero kuelekea rumande
View attachment 268838
Akiwa ndani ya Gari jeusi kuelekea polisi
========
UPDATE - Julai 17, 2015
Mange Tayari ametoka kwa dhamana aliyowekewa na mtoto wa Mvungi muda mchache uliopita (05:15pm)
![]()
Kwa mujibu wa William Malecela, mpaka sasa Saa Tisa Kamili Mange alikuwa amemaliza kutoa maelezo ya awali na anakabiliwa na Kesi za wananchi 7 ambao tayari wameshamfungulia Mashitaka ya kudhalilishwa kwenye Blog yake.
Imebainika kuwa ana kesi ya mujibu wa Polisi Cybercrimes Unit, na huenda akawa na kesi ya kujibu kutoka Usalama wa Taifa na ana kesi ya Polisi wenyewe Oysterbay