Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Kiboko ya Mange alikua DMV.
 
Last edited by a moderator:
Kiboko ya Mange alikua DMV.

Nimesoma na mwammy kifungilo very smart girl ,down to earth na kwa kweli Hana makubwa ya hivyo .Extremely nice and loyal too.Hakuwa rafiki yangu ila alikuwa na akili mnooo na watu wengi walimjua na sr fidesta alimpenda na kumwamini mnoo.Kwanza mpaka ujue ni mtoto wa makamba labda baba ake akija ndio mnamuuliza huyo baba ako Ana smile huyo .Alijulikana kwa Wema wake na akili sio jina la baba.mkitaka kumjua mwamvita uliza watoto wa kifungilo.wa kwanza shuleni,usafi,Upendo .Mwamvita anaakili nyinyi
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma na mwammy kifungilo very smart girl ,down to earth na kwa kweli Hana makubwa ya hivyo .Extremely nice and loyal too.Hakuwa rafiki yangu ila alikuwa na akili mnooo na watu wengi walimjua na sr fidesta alimpenda na kumwamini mnoo.

Sasa hizo qualities zoteee, kutoka kwa rafiki wa karibu,ulokua unapiga naye story, unakula na kunywa naye, unateta naye, unakula dezo, unamchuna na kumnyonya kwa namna mbali mbali.Ulipokua naye alikupa status na title.Ghafla sio rafiki yako teeeena, na uwifi ulikufa, hakipigii tena wala hataki kurudi nyuma.
Lazima udate.
 
Huyo mange kachanganyikwa haswa, juzi hapa alikuwa analia aruhusiwe kwenda USA mwanae mgonjwa bongo hawezi mtibu DR. wake yuko kule, mara kaja na sale anauza mpaka fenicha za ofisi, ofisi imemshinda anafunga, leo tena kaamka na Mwamvita anamchambua, sijui kapagawa na nn huyu, ndugu zake wakae nae karibu atajilipua kama babake.
 
habari ya mjini ile nyumba aliyozindua kwa fujo na kualika wazazi wake eti ametimuliwa na mwanaume wake haikuwa ya kwake kama alivyosema
 
Duuuuuu nomaaaa kumbe alikaa ndani wiki??? Nilikuwa sijazipata hizo nyeti,sasa kwanini anaendelea kuwatukana wakina makamba.juzi kamuweka mwamvita na kaachia comments kuwa mwammy anatembea na presidaa wa nchi ya jirani.hivi haogopi huyu mwanamke?hawaonei huruma watoto wake? Anawapenda kweli??? Mweeeeeee alipotoka huko ndani ndio kaja kuandika tena kwenye blog chaaaaaaa sasa huyo mama yake dr.mwele kwanini asimshauri atulie na aombe msamaha wa wazi?? Duuuuu atahenya hii ndio tanzania
 
Dr. Mwele ana akili timamu huyu mange haambiliki mwache ajitie uchizi, Mwele mwenyewe hafurahi anavyoitwwa mama maana kila mtu amejua alikuwa nyumba ndogo ya mzee kimambi baada ya wadukuzi kuuliza uhusiano wao, wenye kuyaelewa wakayaweka hadharani, hakuna mwanamke anaependa kuitwa hawara sasa yy kamshupalia mwele mama kuliko mke halali wa mzee kimambi. Acha abaki TZ wamfunde maana kajilipua na maadili ya kizungu, na safari hii akiondoka hatarudi nyumbani kabisa maada hata duka lake kafanya sale mpaka ya fanicha analifunga kabisa. huyu ni shida tu si bure mzungu kamwaga.
 
Huyu mama anajua kujitafutia umaarufu, very creative
 
View attachment 268666

Blogger Mange Kimambi wa u-turn Blog ametiwa mbaroni na Jeshi la Polisi leo jijini Dar es Salaam.

Polisi wamemkamata wakati ameenda kuchukua fomu ya kutia nia kuomba ridhaa ya kugombea ubunge kwenye moja ya majimbo ya jiji la Dar.

Mpaka sasa yupo mikononi mwa Polisi akihojiwa kuhusu mienendo ya uendeshaji wa blogu yake na mitandao mingine ya kijamii.

View attachment 268836

Mange alipokwenda kuchukua fomu ya Ubunge wa jimbo la Ubungo kabla ya Kukamatwa na Kupelekwa Rumande

View attachment 268837
Mange akiingizwa Gari LA makachero kuelekea rumande

View attachment 268838
Akiwa ndani ya Gari jeusi kuelekea polisi

========
UPDATE - Julai 17, 2015

Mange Tayari ametoka kwa dhamana aliyowekewa na mtoto wa Mvungi muda mchache uliopita (05:15pm)

11333383_747889221986753_839217265_n.jpg

Kwa mujibu wa William Malecela, mpaka sasa Saa Tisa Kamili Mange alikuwa amemaliza kutoa maelezo ya awali na anakabiliwa na Kesi za wananchi 7 ambao tayari wameshamfungulia Mashitaka ya kudhalilishwa kwenye Blog yake.

Imebainika kuwa ana kesi ya mujibu wa Polisi Cybercrimes Unit, na huenda akawa na kesi ya kujibu kutoka Usalama wa Taifa na ana kesi ya Polisi wenyewe Oysterbay
Imefikia wapi ?
 
Kesi iliisha baada ya kumtukana Lowasa ccm wakafurahia , ila sasa kawageuka ndo wanamtafuta tena
 
Back
Top Bottom