mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,649
Huu ubunge sasa kila mtu anagombea tu......
Hivi mange anadhani atapita?????
Heri angebakia zake usa tu
Sijaona kesi ya kumlaza ndani labda kama nduguze wazembe......
Kesho itabidi kukaa karibu na kituo cha polisi kutakuwa na ubuyu wa kutosha
Duh isha anza kum cost angejua angekaa huko huko US.. Kuna watu wamefurahia hiyo kitu
Duh isha anza kum cost angejua angekaa huko huko US.. Kuna watu wamefurahia hiyo kitu
Sijaona kesi ya kumlaza ndani labda kama nduguze wazembe......
Kesho itabidi kukaa karibu na kituo cha polisi kutakuwa na ubuyu wa kutosha
Huu ubunge sasa kila mtu anagombea tu......
Hivi mange anadhani atapita?????
Heri angebakia zake usa tu
Hivi kilichomleta bongo ni nini? Yaani hakujua kwamba sasa amekuwa wanted?
Tatizo approach anayotumia Ku attack wenzake. BasiTatizo sana Bongo ........ni sheegder .....Wauza sembe wanatetewa :shetani:
Mange nipo pamoja nawe Kamanda
Iweje mtu anatukana watu kila siku alafu eti kaenda kuchukua form za kugombea Ubunge hivi nina imagine Mange ni mbunge naona atakuwa anawatukana bungeni kabisa
Kule njaa kali muzungu hata kitu kaja kuomba msaada viti special
Hao ndugu zake wenyewe anawatukanaga!
yupo see cliff now my dear wameonaaa le kubwa jingaa kapost wakazani kweli,mbonaa kafutaa sasa??yupo
nje for good!!!
Wewe huutaki? Changamkia form kisha utwambie michango yako tuiwakilishe wapi. Mama Mbunge Mtarajiwa.
Bring back our Mange.......
Ubuyu wa mjini tutapata wapi
Mwenyewe nime mshangaa aisee ubunge kupita mwaka uu competition is high sijui kajipangaje. Dah huko aliko aisee na watoto na haya ma case.Huu ubunge sasa kila mtu anagombea tu......
Hivi mange anadhani atapita?????
Heri angebakia zake usa tu
Umeona huo uonevu..........
wambea wote tutaugua........mi staki ujue.......
we want our Mange back.......NOW.........
Mwenyewe nime mshangaa aisee ubunge kupita mwaka uu competition is high sijui kajipangaje. Dah huko aliko aisee na watoto na haya ma case.
mahasimu wake hasa wanawake kama yeye watakuwa wamefurahi sana.