Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Mange Kimambi ahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar

Duh isha anza kum cost angejua angekaa huko huko US.. Kuna watu wamefurahia hiyo kitu


Yeah unajua kuna mambo mengine siyo kuongea kwenye hadhira kama huna ushahidi. Mathalani ukisema mtu muuza sembe lazima polisi wakudake na uwape unalolijua. Biashara ya sembe inawahusisha watu wengi wanaoweza fanya lolote lile ukapotea kabisa. Unapoongea ongea kwa kiasi na bakisha maneno mengine siku nyingine.
 
Sijaona kesi ya kumlaza ndani labda kama nduguze wazembe......

Kesho itabidi kukaa karibu na kituo cha polisi kutakuwa na ubuyu wa kutosha

yupo see cliff now my dear wameonaaa le kubwa jingaa kapost wakazani kweli,mbonaa kafutaa sasa??yupo nje for good!!!
 
Iweje mtu anatukana watu kila siku alafu eti kaenda kuchukua form za kugombea Ubunge hivi nina imagine Mange ni mbunge naona atakuwa anawatukana bungeni kabisa

Njaa jamani yani njaa ikizidi lazma urudi hom kuomba msaada watoto wasife njaa...yani ubunge 2015 mpka vichaa wamechukua fomu n wauza mpapa maarufu
 
Dah
Huu ubunge ushakuwa shida...kila mtu anautaka...... sijui atakuwa anakuja kipindi cha bunge au ndio familia itahamia huku


Kule njaa kali muzungu hata kitu kaja kuomba msaada viti special

Kumbe hii kali

Hao ndugu zake wenyewe anawatukanaga!

Kumbe mange keshatoka??? Ndio maana hakuna mashamsham insta...

Ila Yule babu posti zake siziaminigi kabisaaaa...dakika mbili tu anafuta..... huwa anapenda kiki mjini hapa

yupo see cliff now my dear wameonaaa le kubwa jingaa kapost wakazani kweli,mbonaa kafutaa sasa??yupo
nje for good!!!

Mmmh huu ubunge nawaachia kina uwoya..sepetu..steve na mange... mie siuwezi

Wewe huutaki? Changamkia form kisha utwambie michango yako tuiwakilishe wapi. Mama Mbunge Mtarajiwa.
 
Huu ubunge sasa kila mtu anagombea tu......

Hivi mange anadhani atapita?????

Heri angebakia zake usa tu
Mwenyewe nime mshangaa aisee ubunge kupita mwaka uu competition is high sijui kajipangaje. Dah huko aliko aisee na watoto na haya ma case.
 
Mue nilishaanza kudrive kabisa hapa....

Kuna mdau kasema yupo sea cliff ngoja acomfirm

La sivyo kesho alfajiri mtanikuta nje ya kituo cha polisi na bango langu...

Bring back our Mange....



Umeona huo uonevu..........
wambea wote tutaugua........mi staki ujue.......

we want our Mange back.......NOW.........
 
Watu wanadhani ubunge rahisi...
Wenzie washajikomba ngazi za chini vya kutosha yeye ndani ya miezi 2-3 atawezaje kupenya???

Anyway tunawatakia mafanikio mema...


Mwenyewe nime mshangaa aisee ubunge kupita mwaka uu competition is high sijui kajipangaje. Dah huko aliko aisee na watoto na haya ma case.
 
kwani sio raia wa marekani sasa hivi? anagombeaje ubunge sasa?
 
Back
Top Bottom