Unajuaje? Hana uzazi?labda mkewe? Don't put strain in his marriage, yeye ni binadamu kama wewe.Kuambiwa huna watoto ndio umedhurikaa?
Ingekuwa kadanganya tungesema kamdhalilisha, lkn habari ndio hiyooo
Mie nimekuta hiyoTupieni ma screen shot
yaani ukiona utube jinsi wanavyoonyesha uume wa michele obama unavyotuna kwenye gauni,utashangaa sana,Unamaanisha hawaogopi wewe ni mkulu au lah
Kuna Allegations zingine unaweza kuja public kujitetea ila hili sidhani kama Makonda ana guts za kufanya hivyo ,ama akifanya basi ategemee kudhalilishwa zaidi ,Huyo mtoto wa kike Mange anaweza kabisa kulipia Hotel amakaribishe bwana mkubwa kwenye pilau na bwana mkubwa asiwe na la kufanya ,Anatafuta attention.. Ni vyema wanavyompuuza. Na Makonda wala usimpe kichwa kumtaja popote.
alitusema sana na lowassa wetu mpaka tulilia naona saa hz kachukizwaaSijajua huyu mwanamke anajiamini nini[emoji102]
kwa marekani ni ngumu sana,mpaka kosa linaloeleweka na si hilo la kumwambia mtu hana mtoto,hata ukiwa na extradition treaty nao,hawakubali sanasana watampa statu ya ukimbizi tuhuyu dada, anavuta bangi au unga. hana akili nzuri. ila kwa hili, nina uhakika pale kisutu watakuwa wameshaanza kuanda hati ya mashitaka kabisa. kumtoa marekani hadi hapa ni kitu rahisi sana kwa mutual assitance in criminal matters na extradition. wamkamate haraka awe fundisho manake kaumiza mioyo ya watu wengi sana.
Mkuu kuna msemo mmoja wa kidhungu unazungumzia tabia ya mtu kujibweteka sehemu ya hatari. Huyo dada anacheza muziki asiufahamu ..kuna umuhimu wa kukodisha IT kutoka rwanda ingekuwa anafanya mambo hya rwanda IT wa kule wangemfata hukohuko kwa DT
ndio maana ana namba ya simu na email yy anakuwa tunampa data ila majina anaambiwa asitaje mara nying anasema ukweli sanaaNahisi ni shushushu huyu dada maana ana data zote kama yupo tz inaonekana kuna watu wanamsaidia kupata info
Mkuu kwani kumwambia mtu hana mtoto sio harassment? Sheria inasemaje huko?kwa marekani ni ngumu sana,mpaka kosa linaloeleweka na si hilo la kumwambia mtu hana mtoto,hata ukiwa na extradition treaty nao,hawakubali sanasana watampa statu ya ukimbizi tu
kutokuwa na mtoto sio kosa kwa mtu yeyote,ni majaliwa tu,wala mtu hapaswi kuona aibu eti sababu hana mtoto,hii mentality kwa wenzetu hawanaalikuwa anagusa wadogo, sasa anagusa wakubwa. kwa jinsi magufuli anavyompenda makonda, hakika lazima ataingilia kati. hata hivyo, suala aliloongea ni baya sana, kama makonda hana watoto hilo sio kosa lake, hakutakiwa kuongea hivyo, kati ya vitu ambavyo huwa namwonea huruma mtu ni pale anapomtusi mtu kwasababu hana mtoto.
Hivi mkuu unawezaje kumshambulia mtu kwasababu hana mtoto??Kuna Allegations zingine unaweza kuja public kujitetea ila hili sidhani kama Makonda ana guts za kufanya hivyo ,ama akifanya basi ategemee kudhalilishwa zaidi ,Huyo mtoto wa kike Mange anaweza kabisa kulipia Hotel amakaribishe bwana mkubwa kwenye pilau na bwana mkubwa asiwe na la kufanya ,
Dunia hii unyimwe kila kitu ila sio hapo chini
Apambane apate mtoto atakuwa ameua soo.Mkuu kwani kumwambia mtu hana mtoto sio harassment? Sheria inasemaje huko?
Mkuu mimi sija support alicho kisema ,mimi nimetoa maoni yangu nini kifanyike baada ya hiyo character assassinationHivi mkuu unawezaje kumshambulia mtu kwasababu hana mtoto??
Hayo si Ni majaaliwa ya muumba kweli???
Acheni kukuza mambo...Apambane apate mtoto atakuwa ameua soo.
hakuna sheria itakufunga kwa kumwambia mtu hana mtoto.Mkuu kwani kumwambia mtu hana mtoto sio harassment? Sheria inasemaje huko?
hakuna sheria itakufunga kwa kumwambia mtu hana mtoto.Mkuu kwani kumwambia mtu hana mtoto sio harassment? Sheria inasemaje huko?
Tuachane na jinsi ujumbe ulivyo wasilishwa, tumuache muwasilishaji pia. Tuje kwenye ujumbe wenyewe.
Inamaana Makonda nanihii haina nanihii au vipi vipi mbn sielewi???
kwa marekani ni ngumu sana,mpaka kosa linaloeleweka na si hilo la kumwambia mtu hana mtoto,hata ukiwa na extradition treaty nao,hawakubali sanasana watampa statu ya ukimbizi tu