Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

nina mashaka na wewe mwanaume unae jisifia kwa matusi [emoji12]
Elimu yako imeishia pale mwalimu alipokuambia mwanamke ndio anaweza kutukana. Huyo MTU anayetoa personal info za MTU anastahili makavu, ni kumchana live mnavomuogopa mnampa kichwa, ye ni nani haswa. Anatafuta kiki kama mentally unavyomkubali
 
Hili suala la kushindwa kupata mtoto la Makonda,kama ni kweli.Hili suala lipo beyond his capacity,yeye anakosa gani kutokana na repduction defect yake?Mange amekosea kwa kweli,ila muda wa kuandika yote hayo yeye anautoa wapi jamani?Au mwenzetu anaishi sayari nyingine?
Ila Makonda naye kazidi kwa kutoa kauli zenye ukakasi!...!
 
Hizi personal issues angeachana nazo. Amkosoe kiutendaji kazi tu
 
Unajua anavyojifanya mjanja wa mtandao kisa yupo ng'ambo akahisi yupo salama anakosea sana........maana hawa watu anao wachokoza wanaweza kuamua kumrudi pamoja......

Nchi kama marekani panaweza kuwa na usalama mdogo sana kuliko tanzania.......kwa mfano........anaweza kutumiwa "hit man"......ambao wamejaa sana huko mitaa ya marekani.....wahuni kibao.......mtu analipwa few dollars .........mange yupo wapi........huyu hapo.......pah pah pah pah........shaba za kutosha .......gone and forever will not be seen........sasa atajionaje kuwa yupo salama.........so ajitahidi kutazama watu anaowakorofisha ......maana hadi mimi naogopa the way anashambulia kichwa kichwa bila umakini nastaha.......anakosea sana tu.
 
Nahisi ni shushushu huyu dada maana ana data zote kama yupo tz inaonekana kuna watu wanamsaidia kupata info
Mange awe shushushu? Lets be serious na kuheshimu kazi za watu jamani? Out of all people, taasisi nyeti iajiri mental case kama huyu, kweli?
 
Simpendi makonda sababu za sifa zake za ajabu ajabu lakini hapa huyu mange kakosea adabu na anaongea vitu havimuhusu.

Je kwani ni lazima kuwa na mtoto? Je haya yana athiri utendaji wake wa kazi kama mkuu wa mkoa?
Nathani kuna level ya kubishana isifike hapa. Tuheshimiane tuu. Kuna uzi watu wanamtukana Mohamed dewji kama vile yule mtu ni mbaya sana.
Watz tunakwenda wapi?
 
Me nimesoma nikajiweka kwenye [emoji151][emoji151] Viatu vya mrs mkuu wa jiji lakini bado nilihisi vimenibana. Ni vibaya mno kufanya personal attacks Kiama hizi anaharibu saikolojia za watu. Tangu amtukane mzee lowasa sijawahi kumuelewa tena anapenda matusi magumu magumu kurushia watu hajali kabisa I see.
Yaani we acha hakufanya vyema kabsaa, hakustahili kumfanyia hivyo kaka au mume wa mwenzake, uongozi na maisha ya familia yake ni vitu viwili tofauti.
 
Me nimesoma nikajiweka kwenye [emoji151][emoji151] Viatu vya mrs mkuu wa jiji lakini bado nilihisi vimenibana. Ni vibaya mno kufanya personal attacks Kiama hizi anaharibu saikolojia za watu. Tangu amtukane mzee lowasa sijawahi kumuelewa tena anapenda matusi magumu magumu kurushia watu hajali kabisa I see.
Ila yameshakwisha nadhani
 
Yule dada ni nouma ,ukimkanyaga tu umechokoza nyuki
 
Back
Top Bottom