Mgboss
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 497
- 278
Elimu yako imeishia pale mwalimu alipokuambia mwanamke ndio anaweza kutukana. Huyo MTU anayetoa personal info za MTU anastahili makavu, ni kumchana live mnavomuogopa mnampa kichwa, ye ni nani haswa. Anatafuta kiki kama mentally unavyomkubalinina mashaka na wewe mwanaume unae jisifia kwa matusi [emoji12]