Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Kuambiwa huna watoto ndio umedhurikaa?
Ingekuwa kadanganya tungesema kamdhalilisha, lkn habari ndio hiyooo
Unajuaje? Hana uzazi?labda mkewe? Don't put strain in his marriage, yeye ni binadamu kama wewe.
 
Unamaanisha hawaogopi wewe ni mkulu au lah
yaani ukiona utube jinsi wanavyoonyesha uume wa michele obama unavyotuna kwenye gauni,utashangaa sana,
sijui huyo maama huwa ana uvimbe maeneo hayo ama huwaga anaweka bastola
 
Anatafuta attention.. Ni vyema wanavyompuuza. Na Makonda wala usimpe kichwa kumtaja popote.
Kuna Allegations zingine unaweza kuja public kujitetea ila hili sidhani kama Makonda ana guts za kufanya hivyo ,ama akifanya basi ategemee kudhalilishwa zaidi ,Huyo mtoto wa kike Mange anaweza kabisa kulipia Hotel amakaribishe bwana mkubwa kwenye pilau na bwana mkubwa asiwe na la kufanya ,

Dunia hii unyimwe kila kitu ila sio hapo chini
 
Tuachane na jinsi ujumbe ulivyo wasilishwa, tumuache muwasilishaji pia. Tuje kwenye ujumbe wenyewe.

Inamaana Makonda nanihii haina nanihii au vipi vipi mbn sielewi???
 
huyu dada, anavuta bangi au unga. hana akili nzuri. ila kwa hili, nina uhakika pale kisutu watakuwa wameshaanza kuanda hati ya mashitaka kabisa. kumtoa marekani hadi hapa ni kitu rahisi sana kwa mutual assitance in criminal matters na extradition. wamkamate haraka awe fundisho manake kaumiza mioyo ya watu wengi sana.
kwa marekani ni ngumu sana,mpaka kosa linaloeleweka na si hilo la kumwambia mtu hana mtoto,hata ukiwa na extradition treaty nao,hawakubali sanasana watampa statu ya ukimbizi tu
 
kuna umuhimu wa kukodisha IT kutoka rwanda ingekuwa anafanya mambo hya rwanda IT wa kule wangemfata hukohuko kwa DT
Mkuu kuna msemo mmoja wa kidhungu unazungumzia tabia ya mtu kujibweteka sehemu ya hatari. Huyo dada anacheza muziki asiufahamu ..
 
Mange is pushing back against Makonda's intrusion into our personal affairs.

Makonda anafurumusha watu kwenye ma gesti wakati wa "masaa ya kufanya kazi."

Makonda anapitisha msako wa nyumba kwa nyumba kwa wasio na ajira

Makonda anatulazimisha tufagie mitaa kama baba mzazi wetu

Acha na yeye wamchambue
 
kwa marekani ni ngumu sana,mpaka kosa linaloeleweka na si hilo la kumwambia mtu hana mtoto,hata ukiwa na extradition treaty nao,hawakubali sanasana watampa statu ya ukimbizi tu
Mkuu kwani kumwambia mtu hana mtoto sio harassment? Sheria inasemaje huko?
 
alikuwa anagusa wadogo, sasa anagusa wakubwa. kwa jinsi magufuli anavyompenda makonda, hakika lazima ataingilia kati. hata hivyo, suala aliloongea ni baya sana, kama makonda hana watoto hilo sio kosa lake, hakutakiwa kuongea hivyo, kati ya vitu ambavyo huwa namwonea huruma mtu ni pale anapomtusi mtu kwasababu hana mtoto.
kutokuwa na mtoto sio kosa kwa mtu yeyote,ni majaliwa tu,wala mtu hapaswi kuona aibu eti sababu hana mtoto,hii mentality kwa wenzetu hawana
 
Kuna Allegations zingine unaweza kuja public kujitetea ila hili sidhani kama Makonda ana guts za kufanya hivyo ,ama akifanya basi ategemee kudhalilishwa zaidi ,Huyo mtoto wa kike Mange anaweza kabisa kulipia Hotel amakaribishe bwana mkubwa kwenye pilau na bwana mkubwa asiwe na la kufanya ,

Dunia hii unyimwe kila kitu ila sio hapo chini
Hivi mkuu unawezaje kumshambulia mtu kwasababu hana mtoto??
Hayo si Ni majaaliwa ya muumba kweli???
 
Hivi mkuu unawezaje kumshambulia mtu kwasababu hana mtoto??
Hayo si Ni majaaliwa ya muumba kweli???
Mkuu mimi sija support alicho kisema ,mimi nimetoa maoni yangu nini kifanyike baada ya hiyo character assassination
 
Mkuu kwani kumwambia mtu hana mtoto sio harassment? Sheria inasemaje huko?
hakuna sheria itakufunga kwa kumwambia mtu hana mtoto.
Vipi mkifika mahakamani na ikawa proved kuwa hana mtoto,
sema kwetu watanzania mwanaume kuambiwa hivyo anaona kuwa kadhalilishwa,lakini ni kawaida,
 
Mkuu kwani kumwambia mtu hana mtoto sio harassment? Sheria inasemaje huko?
hakuna sheria itakufunga kwa kumwambia mtu hana mtoto.
Vipi mkifika mahakamani na ikawa proved kuwa hana mtoto,
sema kwetu watanzania mwanaume kuambiwa hivyo anaona kuwa kadhalilishwa,lakini ni kawaida,
 
Tuachane na jinsi ujumbe ulivyo wasilishwa, tumuache muwasilishaji pia. Tuje kwenye ujumbe wenyewe.

Inamaana Makonda nanihii haina nanihii au vipi vipi mbn sielewi???

Mkuu panakaharufu ka kiuchochez hapo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwa marekani ni ngumu sana,mpaka kosa linaloeleweka na si hilo la kumwambia mtu hana mtoto,hata ukiwa na extradition treaty nao,hawakubali sanasana watampa statu ya ukimbizi tu

Wamzushie gaidi wapeleke na tu klip twa mapangoni amboni tanga
 
Back
Top Bottom