Mkuu ingekua kasema verbally kwake ni sawa,ila kumchukua na kumweka kwenye mtandao, huoni ni malicious attack, huoni ni kosa hilo?? Umeuliza vizuri ikithibitika hana uzazi hatakua na kesi, je ikithibitika anao,na tatizo liko kwa mkewe??huoni kuwa unaingia kny maisha ya mtu binafsi? Tujifunze kuwa na mipakahakuna sheria itakufunga kwa kumwambia mtu hana mtoto.
Vipi mkifika mahakamani na ikawa proved kuwa hana mtoto,
sema kwetu watanzania mwanaume kuambiwa hivyo anaona kuwa kadhalilishwa,lakini ni kawaida,
Lazima ujue kutofautishaa
Kati ya TZ na USA
Mkuu,ulimbukeni ni mzigo maana hii mitandao wenzetu wanatumia kwa mambo ya msingi ya kuelimishana lkn wabongo tumegeuza ni mahala pa kudhalilishana na kutukanana.Mkuu ingekua kasema verbally kwake ni sawa,ila kumchukua na kumweka kwenye mtandao, huoni ni malicious attack, huoni ni kosa hilo?? Umeuliza vizuri ikithibitika hana uzazi hatakua na kesi, je ikithibitika anao,na tatizo liko kwa mkewe??huoni kuwa unaingia kny maisha ya mtu binafsi? Tujifunze kuwa na mipaka
unasemaaaaaaaa????Mkuu panakaharufu ka kiuchochez hapo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Angekua chadema angeitwa msaliti... Ila CCM wanampuuzaTena mwanaccm huyu
Ni bwana mmoja aliyefanikiwa kufika katika nyumba moja,lakini nyumba hiyo inamshangaza sana kwani wenyeji wanatumia madirisha kama milango na milango ingalipo..Sizonje ndo nani?
Ondoa shaka kabisa..Naona hujipendii mkuu, sisi tunakupenda sanaa
umeona eeh kwa maana CCM kweli wanawatoto huyo mange anasema uwongo tu [emoji2] [emoji2] [emoji2] .Angekua chadema angeitwa msaliti... Ila CCM wanampuuza
0523328490Mwenye namba ya mange anisaidie ili nimshauri maana kipindi tuko o level alinipenda sana
Mange kachanganyikiwaHizi personal attack za Mange kwa Paul ni sababu za kisiasa au kuna mengine?
aiise
Wewe ndo zinahesabikamange siku zake zinahesabika
yaani ukiona utube jinsi wanavyoonyesha uume wa michele obama unavyotuna kwenye gauni,utashangaa sana,
sijui huyo maama huwa ana uvimbe maeneo hayo ama huwaga anaweka bastola
Itakuwa analipwa kwa hicho akifanyacho,Maisha yamemchapa anatafutia pakumalizia hasira.
Wewe ndo zinahesabika