Rebeca 83
JF-Expert Member
- Jun 4, 2016
- 15,136
- 32,268
Mkuu ingekua kasema verbally kwake ni sawa,ila kumchukua na kumweka kwenye mtandao, huoni ni malicious attack, huoni ni kosa hilo?? Umeuliza vizuri ikithibitika hana uzazi hatakua na kesi, je ikithibitika anao,na tatizo liko kwa mkewe??huoni kuwa unaingia kny maisha ya mtu binafsi? Tujifunze kuwa na mipakahakuna sheria itakufunga kwa kumwambia mtu hana mtoto.
Vipi mkifika mahakamani na ikawa proved kuwa hana mtoto,
sema kwetu watanzania mwanaume kuambiwa hivyo anaona kuwa kadhalilishwa,lakini ni kawaida,