Mange Kimambi ameshachafua hewa huko insta

Hii ishu ya mtoto hata wema sepetu walim-attack sana mitandaoni huku tena mpaka wcb wakarekodi clip ya kumdiss waziwazi....mbona hamkutoa povu kama hii ishu ya mange kwa mkuu wa mkoa
 
Aksante Ngabu.
Kama una access na Mange niunganishe nae tuanzishe bifu nami niwe maarufu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Wizara ya ujenzi bilioni mbili???!!!!
 
Don't dare,Mange atamfufua mpaka babu yako amsute- kamuonya le mutuz asimforce yeye Mange amuingilie Mzee Malecela
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa kweli nimejua kucheka na hili wazo lako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
We ingia Insta..anazo kama.,3..mange_kimambi's,siasa _ za_tanzania na mangekimambi_
Sasa kwanza yeye.Hajifichi.Nilishangaa kuona Kajala Kabadilika ghafra Kawa mtamu kama Mcharo...kumbeeeee..Leo nimejua Siri yake.
 
Chilumba alikua anajifanya mchambuzi wa mambo ya siasa anaandika kukosoa na kurekebisha wanasiasaa
Juzi kaingia cha kike kaandika eti polisi na usalama wakamkamate Mange
Weeeeeeeeeeeeee
Leo nkakuta kafuta post zoooote
Anamuiga ben saanane sio?
Ndio kazama cha kike.. Alichambuliwa sidhani kama ana ham na yule dada
 
Wakimkamata waonganishe na kesi ya Mzee Lowasa. Same lady alimtusi na kumkashifu sana ila upande wa pili walikuwa kimya... sasa wakwao kaguswa naona IMEUMAAAAA....
Walikuwa wanafurahi sanaaaa
Ukipitia post za Mange unakuta wamejazana wanafurahiiii usijaribu kuleta mambo ya ukawa watakurukia kama nini. Now ni turn back .. Wanataka Mange akamatwe.. Mkuki mtamu kwa nguruwe tu
 
Hhhh huko insta hakufai hhhhhh....alafu hivi kwa nini lembebezz anapenda kujipendekeza kwa makonda sana hhhhh nafwaazzzz
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kwa kweli nimejua kucheka na hili wazo lako [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Idea hatariiiiii
 
muwe mnaangalia na watu wa kuwa follow huko insta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…