Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?


Hii anaingiza kwa mwezi mbona
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] mlongo nimechekaa mnooo. Ila Mange lazima ana tatizo nafsini kwake. Daaah yuko bitter mno lol
She is bitter mnoo Hilo lipo trauma ya baba ake haijaisha na haitaisha ,Sasa yeye mpk leo Hana rafiki wa kudumu bado inamtesa Ile kitu na hao walomfanyia baba ake Ile kitu siku akiwajua atawadhalilisha mnooo na I think ndo lengo lake na alishawahi tamka mda kidogo,hiki anachofanya I think yeye ndo anapata ahueni kidoogo.
 
Aujue kuna Karma! Pascal Mayalla hakutudanganya katika hili.
Mkuu Tuji, TUJITEGEMEE , kwanza asante kukumbushia kuhusu karma, pili mimi Pascal Mayalla ni verified name humu, ni mtu mkweli daima!. Maana ukisema "Pascal Mayalla hakutudanganya katika hili" it's as if Pascal Mayalla anaweza kuwa aliwahi kudanganya humu katika mengine ila kwenye hili la karma ndio hakudanganya
Naomba niwathibitishie humu karma is real!. "The Power of 'Karma'- Ndio Hukumu Pekee ya Haki Kamili Hapa Duniani!, Unahukumiwa kwa Matendo Yako!
P
 
Unaelewa maana ya privacy wewe ?



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Una kichaa wewe hebu soma hapa



Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Video ya Kim aliitoa mwenyewe kwa msaada wa mama ake na idea ilitoka kwa Ray,
Yaani the Three of them walikubaliana waiuze na ndio mwanzo wa mafanikio yao japo kuna Mzozo kwa Ray coz iligeuka kinyume na matarajio yao,

Video hata kama ikisambaa lazima iangaliwe wapi ilipotokea hadi ikasambaa na huyo ndie anafaa awajibishwe unazungumzia Copy Right wakati kuna Sura yangu je huyo aliyeisambaza kaipata wapi Copy Right ya kusambaza video/picha zinazonihusu.
 
Yaani nimemshangaa sana, sijui wengine hua wanawaza kwa kutumia nini walai,

Eti lazima U prove damage uliyoipata na sura yako pekee haitoshi lazima uwe na copy right, lol

Kwa hiyo hizo sheria za Cyber bullying ni za bure tu kumbe tunatakiwa kua na Hati Miliki ya Miili yetu.
 
Wanajidhalilisha wenyewe acha ujinga wako. Watu wenyewe ni wa hovyo tu, mambo ya hovyo dawa yao ni ku expose tu
 
Hakuna kitu kama hicho, burden ipo kwako to prove umekuwa violated, ni umiliki na sio sura au matako yako, kama huna ownership huna kesi usipoteze muda wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…