Mange Kimambi ameshindikana kudhibitiwa kabisa?

Atarudi kwa kua sio Mara ya kwanza kupigwa ban ,Yuko US anaenda insta anaongea nao tofautisha na siye wa huku manzese sisi kwa sisi
Sawa atarudi SiJakataa Ila yajayo yanafurahisha.

Kuna mstari ukiuvuka watu wanalala mbele na wewe
 
Ananunua umbea hadi million hii offer yake ndio inaongeza udhalilishaji
 
Mimi msimamo wangu ni kukataa unafiki. Nasema sisi hatuna maadili yoyote na siku hizi zinaa imekuwa kama moja ya sifa kubwa. Wanamuziki kama kina Diamond wanapewa sifa na kuripotiwa kama wame-invert jambo kubwa sana kwa nchi yetu just kwa uwezo wao wa kubadilisha wanawake. Zamani wanawake wanabadilisha wanaume bila mpangilio tuliokuwa tunawaita makahaba na kwenye jamii walidharaulika lakini siku hizi tunawaita ma-celebrities na wana wafuasi luluki kwenye mitandao. Kwa kifupi kumsakama Mange ni kama kulaumu tulikoangukia badala ya kulaumu tulikojikwaa. Nchi imejaa wanawake makahaba wenye wafuasi kibao halafu wewe unasema Mange ndiyo anaharibu jamii wakati yeye anaonyesha tu kile kilichopo kwenye jamii?
 
Washampiga PIN kwenye malipo piaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyo ni TZ Citizen, hana protections under US laws, plus she's doing all her stupid, evil sh.it simply for profit, knowing she's unapproachable nd beyond the reach of TZ law given the fact she's based in the US.
Kwa Kagame wangemmaliza...
 
Ni zaidi ya mil.200 imagine watu zaidi ya milioni 2 wamelipa izo elfu elfu ukizidisha hapo kwa mwezi ni sh.ngap? Ni balaa
 
Sahihi kabisaa wanafanya umalaya afu wanamsingizia mange kwa ukahaba wao,wanasababisha wadogo zetu wajione wamefeli maisha kumbe umalaya umehalalishwa wanamuonea tu mange
 
APP enyewe inagoma ku log in, hata ukitumia VPN.
Wapenda umbea na ubuyu, tuna msiba wallah, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]doooohhh!!!wamemfungia moja kwa mojaa...tutapata Wapi umbea siyeeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38][emoji38]doooohhh!!!wamemfungia moja kwa mojaa...tutapata Wapi umbea siyeeee[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji38][emoji38]
Yaan hadi nimechoka hapa mie, haha
 
Ahsante sana kaka.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Ni nan huyo ze
Utamu
Anaandika Macho Mdiliko;

Achana hao watu walioingia kwenye mtandao juzi juzi. Hiyo ''ze utamu'' wala haikuwa lolote zaidi ya mtu aliyekuwa na blog lake anaandika matusi tu. Tatizo ilikuwa enzi hizo watu walikuwa hawajajua mtandao na uwazi. Kwa Kikwete wali-edit picha na kumfanya Kikwete aonekane kama mwanamke, hakukuwa na zaidi.

Sent from my A50s using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…