Mange kimambi amlipua tena Diamond shutuma za kudhulumu gari

Kapimwe mkojo tu hakuna namna

sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
 
Wanadai toka Kiba kampitia huyu mcharuko yuko upande wa Kiba, mcharuko na Diamond haziivi kabisa, maishani sijawahi ona binti anayependa malumbano na watu kama huyu, hasa wanaume, ni kama chakula au sababu ya yeye kuishi duniani..Shidaaa..
Rumour has it walimshare Diamond na Wena kustiri aibu ilibidi dada anwachie mdogo wake bwana na ndiyo sababu kubwa ya kumchukua Zari
 
Mnaomlaumu mange jitazameni, mwenzenu yupo kazini na analipwa Kwa kile anachokifanya

Acheni unafki humu mnamponda insta mnaofollow,

Aliwahi nitangazia bidhaa yangu mpaka demand ikazidi supply

Sasa endeleeni kumdis mwenzenu maisha yanasonga

invest what you are willing to loose
 
Kama wahenga walivyosema, adui yako sio adui wangu...
 
Wanadai toka Kiba kampitia huyu mcharuko yuko upande wa Kiba, mcharuko na Diamond haziivi kabisa, maishani sijawahi ona binti anayependa malumbano na watu kama huyu, hasa wanaume, ni kama chakula au sababu ya yeye kuishi duniani..Shidaaa..
Long live mange pambeee tyuuuuuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haki jane nimekupendaaa buree nawashangaa kuna vijitu humu vinafki lakini asilimia 99% ya wanachokifollow instagram ni mange


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na hii ndo mondi anapenda,muongee kuhusu yeye tu na atazid kutsjirika na kua juu mamayeee,Toto la tandale utafikiri limesomea saikolojia
 
Yan mange yule huo muda anaochamba angetafuta tu kazi ya kufanya. Mwanamke muda wote mtandaoni anasema watu. Google yenyewe kuna wakati inakosa majibu sembuse mange.
Ni mpumbavu wa kutupwa
 
5. Suala la ushoga na usagaji...ilikuwa huna hata ujasiri wa kutamka maneno hayo lakini now ni kitu cha kawaida, tumekubaliana na hali na hatuoni tatizo tena tuna msemo sikuhizi "kila mtu apambane na hisia zake"!! .
 
Alivyopauka vile hizo hela angeenda kununua mafuta ya korie apake,kakondeana maskini hadi huruma,sura imempalama utadhan ana utapiamlo
 
Hivi mtu hawezi kuweka pesa zake kwenye kitu ambacho kilibuma kabla na kukinyanyua? Mmmh gari tena eeeeh katafuta vs mtu aliyefariki na akaikalia kimya miaka yote. Mmmmh!!!!
 
Kuna watu hawamfahamu kabisa Mange, ila kama umeweza kumfahamu na ukajua watu wanamfuatilia hii inamaanisha hata wewe unamfuatilia kimyakimya, hivyo unaweza ukawa ni mmoja wa wenye hizo IQ ulizoziainisha.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…