Ray waniache
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 737
- 507
- Thread starter
- #21
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ata mm nashangaa amiliki hizo alingeee???Hizo karanga mbona zinajieleza zenyewe kuwa ni za kampuni ya smart, nashaanga wabongo mnavyomuita diamond muuza karanga wakat yeye ni advertiser tu
Mashallah weyeeeee
Kapimwe mkojo tu hakuna namnaHuyu binti anawaweka vijana bize ktk mitandao ya kijamii wanashindwa hata kufanya kazi na ninachosikitika hata magazeti yetu nayo yanamchukulia kama chanzo cha habari. Asilimia kubwa wanaomfuatilia huyu binti wengi wao wavivu wa kufikiri, hawapendi kujishughulisha kutwa kusubiri leo atapost nini,wengi wao ni low IQ. Haiwezakani kila kitu anajua yy siasa, uchumi mpaka maisha binafsi ya familia za watu yaani kwa kifupi chuki zimemjaa moyoni mpaka mungu anashindwa kumbariki na ashukuru ameolewa na mzungu lkn kama angeolewa na mbongo sasa angekuwa tayari kilema, kwa kauli zake mbovu. Ila ninachosikitika zaidi mdogo wangu ni mmoja wa wafuasi wake, yaani amekuwa mvivu, mmbeya kwa kifupi hana mda wa kuyatafakari maisha yake, yy kila sawa na simu mpaka najuta kumnunulia simu, kila mara yupo instagram kwa huyo mange, sasa sijui labda anatoaga ela au huo uzushi wake ndio anaupenda.Nitasikitika zaidi kama Kuna watoto wa kiume nao wakiwa wanaomfuatilia huyu binti, nitakuwa na wasi wasi ulijali wao.
Wanadai toka Kiba kampitia huyu mcharuko yuko upande wa Kiba, mcharuko na Diamond haziivi kabisa, maishani sijawahi ona binti anayependa malumbano na watu kama huyu, hasa wanaume, ni kama chakula au sababu ya yeye kuishi duniani..Shidaaa..Ile ndoa na mzungu mbona ni RIP sikunyingi shetani aliipenda zaidi
Rumour has it walimshare Diamond na Wena kustiri aibu ilibidi dada anwachie mdogo wake bwana na ndiyo sababu kubwa ya kumchukua ZariWanadai toka Kiba kampitia huyu mcharuko yuko upande wa Kiba, mcharuko na Diamond haziivi kabisa, maishani sijawahi ona binti anayependa malumbano na watu kama huyu, hasa wanaume, ni kama chakula au sababu ya yeye kuishi duniani..Shidaaa..
Kama wahenga walivyosema, adui yako sio adui wangu...Mnaomlaumu mange jitazameni, mwenzenu yupo kazini na analipwa Kwa kile anachokifanya
Acheni unafki humu mnamponda insta mnaofollow,
Aliwahi nitangazia bidhaa yangu mpaka demand ikazidi supply
Sasa endeleeni kumdis mwenzenu maisha yanasonga
invest what you are willing to loose
Ni kweli ila yule yupo kazin kama kazi zingineKama wahenga walivyosema, adui yako sio adui wangu...
ChaaaaaaaMashallah weyeeeee
sent from my iPhone 7 nimeinunua SAPNA pale Posta mtaa SAMORA
Long live mange pambeee tyuuuuuuWanadai toka Kiba kampitia huyu mcharuko yuko upande wa Kiba, mcharuko na Diamond haziivi kabisa, maishani sijawahi ona binti anayependa malumbano na watu kama huyu, hasa wanaume, ni kama chakula au sababu ya yeye kuishi duniani..Shidaaa..
Haki jane nimekupendaaa buree nawashangaa kuna vijitu humu vinafki lakini asilimia 99% ya wanachokifollow instagram ni mangeMnaomlaumu mange jitazameni, mwenzenu yupo kazini na analipwa Kwa kile anachokifanya
Acheni unafki humu mnamponda insta mnaofollow,
Aliwahi nitangazia bidhaa yangu mpaka demand ikazidi supply
Sasa endeleeni kumdis mwenzenu maisha yanasonga
invest what you are willing to loose
Mnaomlaumu mange jitazameni, mwenzenu yupo kazini na analipwa Kwa kile anachokifanya
Acheni unafki humu mnamponda insta mnaofollow,
Aliwahi nitangazia bidhaa yangu mpaka demand ikazidi supply
Sasa endeleeni kumdis mwenzenu maisha yanasonga
invest what you are willing to loose
Kuna watu hawamfahamu kabisa Mange, ila kama umeweza kumfahamu na ukajua watu wanamfuatilia hii inamaanisha hata wewe unamfuatilia kimyakimya, hivyo unaweza ukawa ni mmoja wa wenye hizo IQ ulizoziainisha.Huyu binti anawaweka vijana bize ktk mitandao ya kijamii wanashindwa hata kufanya kazi na ninachosikitika hata magazeti yetu nayo yanamchukulia kama chanzo cha habari. Asilimia kubwa wanaomfuatilia huyu binti wengi wao wavivu wa kufikiri, hawapendi kujishughulisha kutwa kusubiri leo atapost nini,wengi wao ni low IQ. Haiwezakani kila kitu anajua yy siasa, uchumi mpaka maisha binafsi ya familia za watu yaani kwa kifupi chuki zimemjaa moyoni mpaka mungu anashindwa kumbariki na ashukuru ameolewa na mzungu lkn kama angeolewa na mbongo sasa angekuwa tayari kilema, kwa kauli zake mbovu. Ila ninachosikitika zaidi mdogo wangu ni mmoja wa wafuasi wake, yaani amekuwa mvivu, mmbeya kwa kifupi hana mda wa kuyatafakari maisha yake, yy kila sawa na simu mpaka najuta kumnunulia simu, kila mara yupo instagram kwa huyo mange, sasa sijui labda anatoaga ela au huo uzushi wake ndio anaupenda.Nitasikitika zaidi kama Kuna watoto wa kiume nao wanamfuatilia huyu binti, basi nitakuwa na wasi wasi na ulijali wao.
![]()
Malkia wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania mange kimambi amemjia juu diamond platnumz juu ya kumdhulumu mjane malipo ya gari alonunua
Kumbe diamond karanga sio za dai wala perfume sio zake heheee yeye kapiga tangazo tu
Amshutumu pia kwa kukataa watoto
Alichokiandika mange hiki hapa;----
Huyo mkataaa watoto hizo karanga hazimuhusuuuuu kabisaaaaaaa!!!! Yani ni Sawa na anavyofanyaga matangazo ya Vodacom alafu mmeseme vodacom ya kwake.... Hizo karanga za long time kishenziii tena zilikuwa zinauzwa tshs 200, kapewa matangazo basi... Hata perfume pia haimuhusuuuuu, keshapewa chake ila perfume ni ya Kusaga ndo anaepiga hela.....Nawashangaaga sana mnavyomuharakisha Kiba atoe bidhaa zake, ni bora atulie atoe kitu ambacho ni chake sio kunufaisha watu wengine abaki anajigamba kwa bidhaa ambazo hana hata shea kidunchu..
.
.
Sio kama namchukia ila ukweli ndo huo.....
.
.
Na nimetafutwa na ndugu zake mjane wa Seki yule alikuwa bwanake Lulu akafariki ghafla baada ya kuuwawa na majini ya Lulu, Jamani nataniaaaaaa [emoji85], wanadai kwamba mkataa watoto kamdhulumu mke wa Seck hiyo X6. Marehemu Seck alimuuzia mkataa watoto hiyo x6 kwenye birthday yake ya 2014 akawa kalipa pesa kidogo mnoooo sasa bahati mbaya Seki akafa ndo mkataa watoto nae kajikausha na deni la marehemu na X6 anaitimba tu, mke wa Seki kamdai hadi kachoka kabaki analia. Embu mwambieni amuoneee huruma mjane wa watu jamani, ajifikirie yeye afe leo alafu Zari na Hamisa wadhulumiwe huku wana watoto wadogo angejisikiaje huko kaburini??? Kweli angeresti in pisi??
Nb:Haki mpare unanifurahishaga hehee nakupenda mpaka usipopost mie presha ipo 360
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona hata wewe upo mtanfaoni, tuache majungu.Yan mange yule huo muda anaochamba angetafuta tu kazi ya kufanya. Mwanamke muda wote mtandaoni anasema watu. Google yenyewe kuna wakati inakosa majibu sembuse mange.
Ni mpumbavu wa kutupwa