Mange kimambi amlipua tena Diamond shutuma za kudhulumu gari

Sijawahi kumuamini mange.
Kama karanga sio za diamond ni za nani?
Diamond ametanga fursa,ananunua karanga mpaka tani 100 kwa mwezi,ajabu watu wanatoa mishipa ya shingo kukazania kuwa sio zake.
Huyo mjane namshauri kama anaona kadhulumiwa afungue kesi mahakamani kama ni kweli
 
Nimezidiwaaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata wewe utakua NA low IQ ? kwani unapataje taarifa zake kama sio kwenye mitandao? Unazingua sana mkuu!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona alishaachana na mzungu siku nyingi
 
Hizo karanga mbona zinajieleza zenyewe kuwa ni za kampuni ya smart, nashaanga wabongo mnavyomuita diamond muuza karanga wakat yeye ni advertiser tu
Isitoshe hapo diamond anaingiza ela nzuri tu kwa kuzitangaza.Alafu wao wamekaa kumsema huku yeye anatengeneza pesa.Sishangai dogo kuwa na mafanikio aliyonayo sasa.
 
Mookiesbad98 mkuu ebu finguka...ilikuwaje?
Baba yake mange Kimambi, Marehemu Jumanne Abdala Kimambi, mjasiriamali Contractor wa ujenzi, alikuwa na hulka ya kupenda warembo, Akiwa katika shughuli zake za Ujenzi wa Veta Kigoma akapenda mrembo wa kirundi mke wa mtu na huku akijiweka urafiki na mume wa huyo mwanamke, Hatimaye kwa kutumia fedha zake akatembea na huyo mke wa rafiki yake, kilichomkuta kigoma ni uharo na kugegedwa na kuchukuliwa video ilyompelekea kujipiga risasi mbezi afrikana. Maana wanaume walimsuuza jando. Mwanae anatukana watu wengi bila kujua ni Spirit of his fore fathers inamuandama.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hata huu mwandiko nikama wa mange tuu.. Mama una ID nyingi saana aiseee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…