Sijawahi kumuamini mange.
Kama karanga sio za diamond ni za nani?
Diamond ametanga fursa,ananunua karanga mpaka tani 100 kwa mwezi,ajabu watu wanatoa mishipa ya shingo kukazania kuwa sio zake.
Huyo mjane namshauri kama anaona kadhulumiwa afungue kesi mahakamani kama ni kweli