Mnaobadilisha mawazo na mnaendelea kushabikia nchi yetu kupeperushwa link hii hapa piga kura mara nyingi inaruhusiwa
http://mama.mtv.com/voting/
Basi wanaume wa kitz mna roho nzuri kuona wanawake wanachukuliwa na watu wengine mmeuchuna, sie wanawake tuna hasira na roho zinauma hatukubali kwakweli diamond katudhalilisha ha ha ha ha ila kura nampigia kila siku kila dakika #kirohombaya
Naomba maelezo ya ziada kidogo kama umejisajili kwa kutumia email, ukishapiga Kura yanakuja maelezo ya kukutaka u-share kwenye facebook au twiter, je ili kura yako ikubaliwe ni lazima ufanye hivyo(share) au ukisha piga tu kura imehesabiwa?
Nahofia nisipoteze kura yangu.....
EEh kwan lazima?? Watupishee, tuwe mazumbukuku au matahira mi ndo nampigia kura davido, atuchambe afanyaje ndo nshaamua yani
Pia nasikia ukiwa unaoga huu unaimba inasaidiaga kupunguza stress....hivo wakati anaoga awe anaimba "sankoro sankoro kama Ronaldo......"warumi kaogeeee halaf upake hiii kwapani,inaondoa harufu mbaya ,wivu,chukiii,,,,utampa na @ms Lincoln na wengineooo wenzenu
huyu dogo kama sikosei alisema hataki tena tuzo maana kabati lake la tuzo limeshajaa... mambo mengine unafanya asubihi jioni unajuta... akikaa kimya itamsaidia si kila kitu lazima ujibu
Na maembe mabichi ale...yanapunguza kichefuchefusanaaa inapunguzaa wivuu
Naomba maelezo ya ziada kidogo kama umejisajili kwa kutumia email, ukishapiga Kura yanakuja maelezo ya kukutaka u-share kwenye facebook au twiter, je ili kura yako ikubaliwe ni lazima ufanye hivyo(share) au ukisha piga tu kura imehesabiwa?
Nahofia nisipoteze kura yangu.....
Naomba maelezo ya ziada kidogo kama umejisajili kwa kutumia email, ukishapiga Kura yanakuja maelezo ya kukutaka u-share kwenye facebook au twiter, je ili kura yako ikubaliwe ni lazima ufanye hivyo(share) au ukisha piga tu kura imehesabiwa?
Nahofia nisipoteze kura yangu.....
Si lazima ni option yake tuu....tena kwa email unapiga hadi unachoka!
Yani sahivi diamond kama msosi vile....asubuhi diamond, mchana diamond usiku diamond
oopppssss "ila kwanini atuache sie wanawake wa Tanzania amchukue mganda?" Ha ha ha sijapenda hiyo ila navote navote navote tu....#kirohombaya
huyu dogo kama sikosei alisema hataki tena tuzo maana kabati lake la tuzo limeshajaa... mambo mengine unafanya asubihi jioni unajuta... akikaa kimya itamsaidia si kila kitu lazima ujibu
je huu si uzalendo uliokufanya ulete hii habari hapa ili kushare na vijana watanzania wenzako ili kuleta maendeleo kwa pamoja?
Sasa huo uzalendo umeuacha wapi adi unampigia kampeni davido mnaijeria achukue tuzo na si diamond mtanzania wenzio? Ifike mahali tuache unafki wandugu