Mange Kimambi ampigia kura Daimond

Mange Kimambi ampigia kura Daimond

Mnaobadilisha mawazo na mnaendelea kushabikia nchi yetu kupeperushwa link hii hapa piga kura mara nyingi inaruhusiwa

http://mama.mtv.com/voting/

Naomba maelezo ya ziada kidogo kama umejisajili kwa kutumia email, ukishapiga Kura yanakuja maelezo ya kukutaka u-share kwenye facebook au twiter, je ili kura yako ikubaliwe ni lazima ufanye hivyo(share) au ukisha piga tu kura imehesabiwa?

Nahofia nisipoteze kura yangu.....
 
Basi wanaume wa kitz mna roho nzuri kuona wanawake wanachukuliwa na watu wengine mmeuchuna, sie wanawake tuna hasira na roho zinauma hatukubali kwakweli diamond katudhalilisha ha ha ha ha ila kura nampigia kila siku kila dakika #kirohombaya

Hatufurahii hata kidogo. Inauma si kidogo lakini utafanya nini mtu ndiyo kaamua anataka vya nje! Tunakuwa mashemeji kwa lazima.
 
Naomba maelezo ya ziada kidogo kama umejisajili kwa kutumia email, ukishapiga Kura yanakuja maelezo ya kukutaka u-share kwenye facebook au twiter, je ili kura yako ikubaliwe ni lazima ufanye hivyo(share) au ukisha piga tu kura imehesabiwa?

Nahofia nisipoteze kura yangu.....

SI lazima kushare kwenye Facebook
 
Mbona anarudia rudia sentensi zilezile.

Ok hongera lakin kwa kuwaelimisha.
 
Naomba maelezo ya ziada kidogo kama umejisajili kwa kutumia email, ukishapiga Kura yanakuja maelezo ya kukutaka u-share kwenye facebook au twiter, je ili kura yako ikubaliwe ni lazima ufanye hivyo(share) au ukisha piga tu kura imehesabiwa?

Nahofia nisipoteze kura yangu.....

Si lazima ni option yake tuu....tena kwa email unapiga hadi unachoka!
 
Naomba maelezo ya ziada kidogo kama umejisajili kwa kutumia email, ukishapiga Kura yanakuja maelezo ya kukutaka u-share kwenye facebook au twiter, je ili kura yako ikubaliwe ni lazima ufanye hivyo(share) au ukisha piga tu kura imehesabiwa?

Nahofia nisipoteze kura yangu.....

Bonyeza X ipo juu kulia kufunga hiyo popup halafu endelea kupiga kura na kubonyeza X.

View attachment 262298
 
Yani sahivi diamond kama msosi vile....asubuhi diamond, mchana diamond usiku diamond
oopppssss "ila kwanini atuache sie wanawake wa Tanzania amchukue mganda?" Ha ha ha sijapenda hiyo ila navote navote navote tu....#kirohombaya

kwani ujapata mwanaume,mbona Mwamvita Ana mzungu,Lucy Komba anamzungu,Irene yeye kaolewa na Ndikumana,lakini sisi mwanaume tunaona kawaida tu
 
Kura ni haki yangu, kuchagua aliye bora pia ni haki yangu, tukanenii weeeee ila mwisho Wa siku internet ni yangu, simu/laptop/au iPad ni yangu, muda ni wangu na uchaguzi Wa kumvotia davido ni wangu. Maumivu yakiwazidi muoneni daktari mapema mpate tiba.
 
  • Thanks
Reactions: naa
huyu dogo kama sikosei alisema hataki tena tuzo maana kabati lake la tuzo limeshajaa... mambo mengine unafanya asubihi jioni unajuta... akikaa kimya itamsaidia si kila kitu lazima ujibu

hivi ndio inaonesha jinsi gani watz tulivyo na akili ndogo kusoma magazeti ya shigongo na kuyaamini asilimia mia, tuwe watu wa kuchuja habari pindi tunapozipata una ushahidi kua diamond aliongea hayo maneno? ndio maana mnakurupuka na kwenda kumshobokea davido na english yenu mbovu mnapelekea taifa zima kudhalilika. Shame!!!
 
Mi sina tatizo na wanaompigia kura,ishu siyo timu kiba wala diamond,ishu ni wabongo kujipendekeza,leo hata 50 cent akipost bendera ya Tanzania wabongo wataenda kujaza comments zao za kiswahili mle hata kama mwenye post haelewi mpaka unajiuliza hawa watu vipi kama wametoka shimoni,we mpigie kura unayemtaka kivyako acheni mambo ya kujipendekeza,mnaacha ya kwenu mnaenda kutukanana kwenye post za watu mpaka watanzania wote tunaonekana mazuzu.
 
je huu si uzalendo uliokufanya ulete hii habari hapa ili kushare na vijana watanzania wenzako ili kuleta maendeleo kwa pamoja?

Sasa huo uzalendo umeuacha wapi adi unampigia kampeni davido mnaijeria achukue tuzo na si diamond mtanzania wenzio? Ifike mahali tuache unafki wandugu

Wewe ungeuliza sababu za davido kupigiwa kura ili mzifanyie kazi badala ya kuanza kuita watu majina. Always u should Go beyond what u observe...never take things for granted. By the way unafiki ni surname yangu.
 
Back
Top Bottom