Spidergurl
Member
- Jun 4, 2015
- 73
- 51
Mi sina tatizo na wanaompigia kura,ishu siyo timu kiba wala diamond,ishu ni wabongo kujipendekeza,leo hata 50 cent akipost bendera ya Tanzania wabongo wataenda kujaza comments zao za kiswahili mle hata kama mwenye post haelewi mpaka unajiuliza hawa watu vipi kama wametoka shimoni,we mpigie kura unayemtaka kivyako acheni mambo ya kujipendekeza,mnaacha ya kwenu mnaenda kutukanana kwenye post za watu mpaka watanzania wote tunaonekana mazuzu.
Wewe ungeuliza sababu za davido kupigiwa kura ili mzifanyie kazi badala ya kuanza kuita watu majina. Always u should Go beyond what u observe...never take things for granted. By the way unafiki ni surname yangu.
ebu tupe hayo yanayofanya davido apigiwe kura na watz na kumwacha diamond mkuu nahisi nipo nyuma kwa hili.
Uwiiiiii mbona yeye hakuwa mzalendo kwa kumuacha Mtz na kuchukua Muganda! Chinekeee nampigia tu davido Wacha niendelee kuwa mburula
Kwangu mimi hata mkimpigia kura wala hainisumbui isipokuwa najisikia aibu pale Davido anapowawekea bendera ya nchi yenu kisha watu kama wehu wanaanza kushangilia kumbe mwenye akili timamu anafahamu kabisa kwamba alichofanya Davido ni kuwang'ong'a!Wewe ungeuliza sababu za davido kupigiwa kura ili mzifanyie kazi badala ya kuanza kuita watu majina. Always u should Go beyond what u observe...never take things for granted. By the way unafiki ni surname yangu.
huyu dogo kama sikosei alisema hataki tena tuzo maana kabati lake la tuzo limeshajaa... mambo mengine unafanya asubihi jioni unajuta... akikaa kimya itamsaidia si kila kitu lazima ujibu
Pitia nyuzi za nyuma yashaongelewa sana. Kupigiwa Davido wala haihusiani na wema wala kiba
Pitia nyuzi za nyuma yashaongelewa sana. Kupigiwa Davido wala haihusiani na wema wala kiba
Bundle ikikuishia kuna kioski pale Posta Mpya kinatoa Free Bundle kwa wale wote wanaotaka kumpigia Davido!Uwiiiiii mbona yeye hakuwa mzalendo kwa kumuacha Mtz na kuchukua Muganda! Chinekeee nampigia tu davido Wacha niendelee kuwa mburula
Usijisumbue kuuliza Wema ame-date na wangapi! Anza kwanza kuwauliza hao hao wenyewe unakuta binti ana miaka 21 lakini keshagongwa na wanaume zaidi ya watano na ameanza kugongwa tangu akiwa form ii yaani wakati akiwa under age.Hv wema ka date na wangapi before diamond wabongo bwana tunapenda kukurupuka sana oooh mala diamond hajatulia mala anasifa hv huyo madam wenu kwann hamshauri aache upaka shume wangapi wamekula tunda lake au mtasema alikuwa bado anatafuta so kwa mondi mtasema alipata alipo kuwa anatafuta? "uliyo yafanya jana ndio yataijenga leo" shame on you, guys lets vote for our Tanzanian international icon.
Bundle ikikuishia kuna kioski pale Posta Mpya kinatoa Free Bundle kwa wale wote wanaotaka kumpigia Davido!
christmas ameomba sababu za kwako wewe na sio za hao wengine unaosema eti kuna nyuzi kibao. Taja sababu zako wewe.Pitia nyuzi za nyuma yashaongelewa sana. Kupigiwa Davido wala haihusiani na wema wala kiba
Kwa kawaida mie sio mfuasi wa mambo ya kura lakini kwa ajili ya kushindana na roho chafu za kishetani ambazo ndiyo tafsiri sahihi ya chuki nimekata shauri la kuingia msituni kushindana na pepo wachafu.Vote for diamond
Nasikia Davido amewapongeza na kuwawekea bendera ya nchi yenu kabisa! Dah, aisee hongereni. Mnafagiliwa na msanii mkubwa barani Afrika!!!Noted sir
Mi nnae ila kwanini diamond akachukue mganda na atuache sisi watanzania sikubaliani na hili mie ha ha hakwani ujapata mwanaume,mbona Mwamvita Ana mzungu,Lucy Komba anamzungu,Irene yeye kaolewa na Ndikumana,lakini sisi mwanaume tunaona kawaida tu