Spidergurl
Member
- Jun 4, 2015
- 73
- 51
Mi sina tatizo na wanaompigia kura,ishu siyo timu kiba wala diamond,ishu ni wabongo kujipendekeza,leo hata 50 cent akipost bendera ya Tanzania wabongo wataenda kujaza comments zao za kiswahili mle hata kama mwenye post haelewi mpaka unajiuliza hawa watu vipi kama wametoka shimoni,we mpigie kura unayemtaka kivyako acheni mambo ya kujipendekeza,mnaacha ya kwenu mnaenda kutukanana kwenye post za watu mpaka watanzania wote tunaonekana mazuzu.
wanaotukana kule matusi makubwa ni watu wa diamond.