Mange Kimambi ampigia kura Daimond

Mimi kama ni mtu kuchagua naona kuna machaguo mawili.la kwanza kumpigia Diamond na pili kutompigia na kukaa kimya.kama unamchukia usimpigie na utulie huo utakuwa uzalendo kuliko kura kuwapa wageni wasiokuwa na maana yoyote.
 
Vote for Diamond... Ila nawe Dimondo usiropokage hovyo khaaa
 
Hongera kwa kuhama team ya mfalme Huihui :A S wink:
 
Yani sahivi diamond kama msosi vile....asubuhi diamond, mchana diamond usiku diamond
oopppssss "ila kwanini atuache sie wanawake wa Tanzania amchukue mganda?" Ha ha ha sijapenda hiyo ila navote navote navote tu....#kirohombaya

Bado sijaona kosa la diamond kabsa nazani watu mnajaribu kutafuta sababu ambazo hazina mashiko kumkandamiza mambo ya mahusiano ni uwamuzi wa MTU na ana Haki ya kumpenda yoyote kwan uyo wema yeye ana nini asiachwe jamani? Tumchukie MTU kwa vigezo maalumu ila siyo ivo kwan wema hajawah kumdhalilisha mond aaaah
 
Mange anajuwa timing za kuteka hisia za wavivu wa kufikiri hasa akishakuwa amekera wengi. Who is Mange by the way? Nasubiri kuona kura ya Wema sasa mjini bila unafki maisha hayaendi.
 
Ili ufanikiwe unahitaji marafiki lakini ili ufanikiwe zaidi unahitaji maadui pia
 
Mange anajuwa timing za kuteka hisia za wavivu wa kufikiri hasa akishakuwa amekera wengi. Who is Mange by the way?

Nasubiri kuona kura ya Wema sasa mjini bila unafki maisha hayaendi.


kura ipi
 
Hapana bana mi na wanawake wengine wa tz roho znatuuma "kwanini atuache sisi wanawake wa tz akachukue mganda"
piga kura piga kura
best male-Diamond, best live-Diamond, best colabo-Diamond ft iyanya
songi bora la malezi-mwana, songi bora la jikoni-chekeka
 
Kwa kawaida mie sio mfuasi wa mambo ya kura lakini kwa ajili ya kushindana na roho chafu za kishetani ambazo ndiyo tafsiri sahihi ya chuki nimekata shauri la kuingia msituni kushindana na pepo wachafu.

Wewe kama mimi mkuu sijawah kuvote ila term hii nime vote for diamond kwa ajili ya kukemea roho za chuki
 
Hivi unawezaje kujipendekeza kuwa umetukanwa na wewe hhahahah yaani kusemwa kasemwa mwingine wewe nawe unajidai umesemwa na hata jina lako halijatajwa hahahahh

Vote for diamond pliiz tuzo zije home
 

Na baaadooooo hahahaha
Idris sultan kabeba nani vileee
Mwisho mwampamba jee....
Mastaa wabongo wataishiwa kuchezewa na kuachwaaaa...
 
Wewe kama mimi mkuu sijawah kuvote ila term hii nime vote for diamond kwa ajili ya kukemea roho za chuki

Ht mm sijawahi vote this tym I did...kwann umchukue mtu ambaye hajawahi ht kukununulia chumvi
Mtu ambaye hata hakujui unamchukia...kisa tu fata mkumbo...lol
Ni dhambi kubwa sana kuwa na kinyongo na chuki...
 
huyu dogo kama sikosei alisema hataki tena tuzo maana kabati lake la tuzo limeshajaa... mambo mengine unafanya asubihi jioni unajuta... akikaa kimya itamsaidia si kila kitu lazima ujibu
Umesha kosea kuongea uwongo...acha kubahatisha mambo.
 
Na baaadooooo hahahaha
Idris sultan kabeba nani vileee
Mwisho mwampamba jee....
Mastaa wabongo wataishiwa kuchezewa na kuachwaaaa...
Hivi hawa wanaume wa tz wana mpango gani na mioyo yetu? Eeh am asking these men of tz have which plan with our hearts???
 
Hongera Mange kwa kuonyesha utofauti wa shule. Sasa humu Jamii forums kuna wauza P ambao hawaelewii kitu sababu ya elimu yao ndogo. Mange umeonyesha ukomavu na ume prove kama kweli una MBA. Education is sexy:first:

Kuna mmoja alikua ananiboa huyo ana kidomo ka sholwe ni kajingajinga hivi ...afadhali ramadhani imekuja kameenda kufunga hahahaah maana kalikua kanakunya tu hapa kamejaa uswahili mtupu.
 
Kuna mmoja alikua ananiboa huyo ana kidomo ka sholwe ni kajingajinga hivi ...afadhali ramadhani imekuja kameenda kufunga hahahaah maana kalikua kanakunya tu hapa kamejaa uswahili mtupu.
Ha ha ha short tempered
 
Yani sahivi diamond kama msosi vile....asubuhi diamond, mchana diamond usiku diamond
oopppssss "ila kwanini atuache sie wanawake wa Tanzania amchukue mganda?" Ha ha ha sijapenda hiyo ila navote navote navote tu....#kirohombaya

Wanawake wa kibongo hamjui kupenda.
Mko kibiashara zaidi!
Kaenda kwa wanaojua kupenda.
Lakini hiyo si sababu ya kukasirika kiasi cha kumnyima kura!
 

Hah hah hah aya bwana Eva...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…