Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yani sahivi diamond kama msosi vile....asubuhi diamond, mchana diamond usiku diamond
oopppssss "ila kwanini atuache sie wanawake wa Tanzania amchukue mganda?" Ha ha ha sijapenda hiyo ila navote navote navote tu....#kirohombaya
Hapana bana mi na wanawake wengine wa tz roho znatuuma "kwanini atuache sisi wanawake wa tz akachukue mganda"Bado sijaona kosa la diamond kabsa nazani watu mnajaribu kutafuta sababu ambazo hazina mashiko kumkandamiza mambo ya mahusiano ni uwamuzi wa MTU na ana Haki ya kumpenda yoyote kwan uyo wema yeye ana nini asiachwe jamani? Tumchukie MTU kwa vigezo maalumu ila siyo ivo kwan wema hajawah kumdhalilisha mond aaaah
Kwa kawaida mie sio mfuasi wa mambo ya kura lakini kwa ajili ya kushindana na roho chafu za kishetani ambazo ndiyo tafsiri sahihi ya chuki nimekata shauri la kuingia msituni kushindana na pepo wachafu.
Hapana bana mi na wanawake wengine wa tz roho znatuuma "kwanini atuache sisi wanawake wa tz akachukue mganda"
piga kura piga kura
best male-Diamond, best live-Diamond, best colabo-Diamond ft iyanya
songi bora la malezi-mwana, songi bora la jikoni-chekeka
Hayaa sasa nimeitoa kwa Mange nimekopi ,,, Evelyn Salt warumi Heaven on Earth na wengineo binti kiziwi mzurimie mkosafeza matumbo Chinga One
Wewe kama mimi mkuu sijawah kuvote ila term hii nime vote for diamond kwa ajili ya kukemea roho za chuki
Umesha kosea kuongea uwongo...acha kubahatisha mambo.huyu dogo kama sikosei alisema hataki tena tuzo maana kabati lake la tuzo limeshajaa... mambo mengine unafanya asubihi jioni unajuta... akikaa kimya itamsaidia si kila kitu lazima ujibu
Hivi hawa wanaume wa tz wana mpango gani na mioyo yetu? Eeh am asking these men of tz have which plan with our hearts???Na baaadooooo hahahaha
Idris sultan kabeba nani vileee
Mwisho mwampamba jee....
Mastaa wabongo wataishiwa kuchezewa na kuachwaaaa...
Hongera Mange kwa kuonyesha utofauti wa shule. Sasa humu Jamii forums kuna wauza P ambao hawaelewii kitu sababu ya elimu yao ndogo. Mange umeonyesha ukomavu na ume prove kama kweli una MBA. Education is sexy:first:
Ha ha ha short temperedKuna mmoja alikua ananiboa huyo ana kidomo ka sholwe ni kajingajinga hivi ...afadhali ramadhani imekuja kameenda kufunga hahahaah maana kalikua kanakunya tu hapa kamejaa uswahili mtupu.