Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Basi atusamehe arudi, tutajifunza kupenda jamani....tunaumiaWanawake wa kibongo hamjui kupenda.
Mko kibiashara zaidi!
Kaenda kwa wanaojua kupenda.
Lakini hiyo si sababu ya kukasirika kiasi cha kumnyima kura!
Basi atusamehe arudi, tutajifunza kupenda jamani....tunaumia
Hah hah hah aya bwana Eva...
Hata akiwa na mmoja sie si tunahesabu ni bwana wa wengi ha ha ha huoni hata madai yetu kwa zari " katuchukulia bwana yetu"Lakini hata hivyo hawezi kuwaoa wote! Ameona awaletee wifi ladha tofauti ili ukoo uwe mpana kidogo.
Hata zamani mababu zetu walikuwa wanakwenda kuoa mbali! Halafu mwali anapokelewa kifalme kama kawaida!
Tusichoke kumpenda, He is still our brother!
Hata akiwa na mmoja sie si tunahesabu ni bwana wa wengi ha ha ha huoni hata madai yetu kwa zari " katuchukulia bwana yetu"
mpgie kura diamond
Kuna mmoja alikua ananiboa huyo ana kidomo ka sholwe ni kajingajinga hivi ...afadhali ramadhani imekuja kameenda kufunga hahahaah maana kalikua kanakunya tu hapa kamejaa uswahili mtupu.
Wewe kama mimi mkuu sijawah kuvote ila term hii nime vote for diamond kwa ajili ya kukemea roho za chuki
Na matusi yamepungua. Nakajua hako ka sholwe bwenziii teh teh
Basi atusamehe arudi, tutajifunza kupenda jamani....tunaumia
ila wazalendo msiongee huenda kiba akipata chance hiyo wanaijeria watampigia kura wamuache wa nigeria
Basi atusamehe arudi, tutajifunza kupenda jamani....tunaumia
hatukutoi ng'oooo haya ni malalamiko yetu wote wanawake wa tz ha ha haHahahaaa naona leo umewasaidia mashoga zako kulalamika kuachwa. Ila mi ninachoshangaa mbona hawamchukii Yule nani sijui Jumbe, sijui Mr blue, sijui nani nani Why Chibu! Kwani wema alikula Yamini na diamond? Au ndo kamtoa bikra! Utasikia yaani anadhalilisha wanawake, mhhh mi naomba mnitoe kwa hao wanawake wanadhalilishwa.
Hueleweki bana unataka boxa na singlend au unataka LamborghinTumechokaa kunyonywaaaaaaaaaaa mjifunze kuclear bill na nyinyi ili tuseme thanks beibiiiiiiiii.