Mange Kimambi ampigia kura Daimond

Mange Kimambi ampigia kura Daimond

Wanawake wa kibongo hamjui kupenda.
Mko kibiashara zaidi!
Kaenda kwa wanaojua kupenda.
Lakini hiyo si sababu ya kukasirika kiasi cha kumnyima kura!
Basi atusamehe arudi, tutajifunza kupenda jamani....tunaumia
 
Basi atusamehe arudi, tutajifunza kupenda jamani....tunaumia

Lakini hata hivyo hawezi kuwaoa wote! Ameona awaletee wifi ladha tofauti ili ukoo uwe mpana kidogo.
Hata zamani mababu zetu walikuwa wanakwenda kuoa mbali! Halafu mwali anapokelewa kifalme kama kawaida!
Tusichoke kumpenda, He is still our brother!
 
Hata akiwa na mmoja sie si tunahesabu ni bwana wa wengi ha ha ha huoni hata madai yetu kwa zari " katuchukulia bwana yetu"
mpgie kura diamond
 
Kuna mmoja alikua ananiboa huyo ana kidomo ka sholwe ni kajingajinga hivi ...afadhali ramadhani imekuja kameenda kufunga hahahaah maana kalikua kanakunya tu hapa kamejaa uswahili mtupu.

Na matusi yamepungua. Nakajua hako ka sholwe bwenziii teh teh
 
Na matusi yamepungua. Nakajua hako ka sholwe bwenziii teh teh

Hahahahhhaah kumbe unamjua daah yaani kapo ka kachawi hivi kila sehemu kapo na sijui kanaingiaingiaje humu sijui kwenye nyufa maana hakausika lakini kanitia timu na minywelwe timtim hahhahaah naomba ramadhani iwe mwaka mzjma kasirudi maana kanaharisha uharo wa bata hahahahh
 
ila wazalendo msiongee huenda kiba akipata chance hiyo wanaijeria watampigia kura wamuache wa nigeria
 
ila wazalendo msiongee huenda kiba akipata chance hiyo wanaijeria watampigia kura wamuache wa nigeria

Hahahaaa inawezekana aisee unajua mi nilitegemea kwenye category ya BEST NEW ACT angekuwa Kiba jamani lol! Ngoja tusubiri mwakani tutawahamasisha na wanaigeria watupigie kura teh teh.
 
Basi atusamehe arudi, tutajifunza kupenda jamani....tunaumia

Hahahaaa naona leo umewasaidia mashoga zako kulalamika kuachwa. Ila mi ninachoshangaa mbona hawamchukii Yule nani sijui Jumbe, sijui Mr blue, sijui nani nani Why Chibu! Kwani wema alikula Yamini na diamond? Au ndo kamtoa bikra! Utasikia yaani anadhalilisha wanawake, mhhh mi naomba mnitoe kwa hao wanawake wanadhalilishwa.
 
hatukutoi ng'oooo haya ni malalamiko yetu wote wanawake wa tz ha ha ha
vote vote vote diamond
 
Na baaadooooo hahahaha
Idris sultan kabeba nani vileee
Mwisho mwampamba jee....
Mastaa wabongo wataishiwa kuchezewa na kuachwaaaa...

hivi unajuaga Hua nakuzimiaa vibaya me
 
Tuna upuuzi mwingi sana kama watanzania ila tumpigie huyu dogo kura pamoja na usengerema wake
 
Back
Top Bottom