Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Si ndo maana tunafanya colabo tumpige chini diamond kwenye tuzo, wanawake wa tz na wanaume wa ug kwa pamoja tumedhalilishwa ha ha haTeh Teh na sisi wanaume wa Uganda tumekerwa na kitendo cha Diamond kumchukua mwanamke wetu bado tunajiuliza kwani huko Tanzania hakuna wanawake! Sasa hasira zetu ............
mange ni mtu kama wengine so ana haki ya kuchagua apendacho. as for me.....i vote for davido and flava period.
kuweweseka inamaanisha sindano zimekuingia vizuri... job well doneTeam changucha
Kura ni haki yangu, kuchagua aliye bora pia ni haki yangu, tukanenii weeeee ila mwisho Wa siku internet ni yangu, simu/laptop/au iPad ni yangu, muda ni wangu na uchaguzi Wa kumvotia davido ni wangu. Maumivu yakiwazidi muoneni daktari mapema mpate tiba.
Basi wanaume wa kitz mna roho nzuri kuona wanawake wanachukuliwa na watu wengine mmeuchuna, sie wanawake tuna hasira na roho zinauma hatukubali kwakweli diamond katudhalilisha ha ha ha ha ila kura nampigia kila siku kila dakika #kirohombaya
Hongera Mange kwa kuonyesha utofauti wa shule. Sasa humu Jamii forums kuna wauza P ambao hawaelewii kitu sababu ya elimu yao ndogo. Mange umeonyesha ukomavu na ume prove kama kweli una MBA. Education is sexy:first:
Punguza hasira w'end ujue, af pia ni mwisho wa mwezi....tarehe za kukasirika bado zikifika hata mie nakasirikaga😛oaHao wanaume huwa unawawekea salio,muache kila mtu atumie uhuru wake kama nafsi yake inavopenda,habari za uzalendo tuwaulize nyie mnalipa kodi kiasi gani?
Watu wa mwisho wa mwezi mna fujo sanaPunguza hasira w'end ujue, af pia ni mwisho wa mwezi....tarehe za kukasirika bado zikifika hata mie nakasirikaga😛oa
Chezeiya kuwezeshwa na shemeji wewe....ndo tarehe zenyewe hizi za kufuarahi nikifurahi zaidi nakupiga afu nakulipaWatu wa mwisho wa mwezi mna fujo sana