Mange Kimambi ampigia kura Daimond

Mange Kimambi ampigia kura Daimond

Teh Teh na sisi wanaume wa Uganda tumekerwa na kitendo cha Diamond kumchukua mwanamke wetu bado tunajiuliza kwani huko Tanzania hakuna wanawake! Sasa hasira zetu ............
Si ndo maana tunafanya colabo tumpige chini diamond kwenye tuzo, wanawake wa tz na wanaume wa ug kwa pamoja tumedhalilishwa ha ha ha
 
MTV mama Diamondplatnumz & vanessa

⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇⬇


MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015
MAMA 2015


⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆⬆
link hiyoooooooooooo... #wasaaaaaaafi

vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote vote
 
Kura ni haki yangu, kuchagua aliye bora pia ni haki yangu, tukanenii weeeee ila mwisho Wa siku internet ni yangu, simu/laptop/au iPad ni yangu, muda ni wangu na uchaguzi Wa kumvotia davido ni wangu. Maumivu yakiwazidi muoneni daktari mapema mpate tiba.

Upo sawa kabisa,huwezi kumchagulia mtu cha kufanya.
 
Basi wanaume wa kitz mna roho nzuri kuona wanawake wanachukuliwa na watu wengine mmeuchuna, sie wanawake tuna hasira na roho zinauma hatukubali kwakweli diamond katudhalilisha ha ha ha ha ila kura nampigia kila siku kila dakika #kirohombaya

Hao wanaume huwa unawawekea salio,muache kila mtu atumie uhuru wake kama nafsi yake inavopenda,habari za uzalendo tuwaulize nyie mnalipa kodi kiasi gani?
 
Hongera Mange kwa kuonyesha utofauti wa shule. Sasa humu Jamii forums kuna wauza P ambao hawaelewii kitu sababu ya elimu yao ndogo. Mange umeonyesha ukomavu na ume prove kama kweli una MBA. Education is sexy:first:

Kura haina mkumbo kila mtu anapiga kwa vile anavojisikia sio kwa vile Mambe anavojisikia.
 
Hao wanaume huwa unawawekea salio,muache kila mtu atumie uhuru wake kama nafsi yake inavopenda,habari za uzalendo tuwaulize nyie mnalipa kodi kiasi gani?
Punguza hasira w'end ujue, af pia ni mwisho wa mwezi....tarehe za kukasirika bado zikifika hata mie nakasirikaga😛oa
 
Back
Top Bottom