Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Usengerema gani? Kakufanyaje we binafsi?Tuna upuuzi mwingi sana kama watanzania ila tumpigie huyu dogo kura pamoja na usengerema wake
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Usengerema gani? Kakufanyaje we binafsi?Tuna upuuzi mwingi sana kama watanzania ila tumpigie huyu dogo kura pamoja na usengerema wake
Usengerema gani? Kakufanyaje we binafsi?
mange ni mtu kama wengine so ana haki ya kuchagua apendacho. as for me.....i vote for davido and flava period.
Umesema diamond ana usengerema ndo nataka kujua amekufanyaje???usipotezeeNawashangaa mnaomsusia.. Usengerema kila mtu anao
Umesema diamond ana usengerema ndo nataka kujua amekufanyaje???usipotezee
Hueleweki bana unataka boxa na singlend au unataka Lamborghin
You see, watu wengine mnachukia kwa mkumbo tu ha ha ha pole weeeeeUshampigia kura.. Kama ndio piga tena na tena
hatukutoi ng'oooo haya ni malalamiko yetu wote wanawake wa tz ha ha ha
vote vote vote diamond
Ebu nifundisheni na Mimi kupiga kura,
ajabu kweli yani., kumbe hii dunia bado ina watu kama wewe!!
nahicho ndio kinawaumaYani sahivi diamond kama msosi vile....asubuhi diamond, mchana diamond usiku diamond
oopppssss "ila kwanini atuache sie wanawake wa Tanzania amchukue mganda?" Ha ha ha sijapenda hiyo ila navote navote navote tu....#kirohombaya
Kwakweli hata mi ni mtz naumia, ushavote lakini? Diamond platnumnahicho ndio kinawauma
sana tu,ndo ka ikon tulikonako,kenyewe kamoja tu,we unazani akirudiana na sepetunga kuna cha timu mchangani apa? utasikia tu,WITH MA BAE Via white house,nikikukosha mama usisahau kugonga like,make ninato tuchacheKwakweli hata mi ni mtz naumia, ushavote lakini? Diamond platnum
Nishafanya yanguKwakweli hata mi ni mtz naumia, ushavote lakini? Diamond platnum
Navote kila siku kila saa yani ni kuvote tu kiroho mbaya hata akinidhalilishaje navote tu mieNishafanya yangu
Vote vote for Diamond
White hause akafate nini alichokisahau aishie zakesana tu,ndo ka ikon tulikonako,kenyewe kamoja tu,we unazani akirudiana na sepetunga kuna cha timu mchangani apa? utasikia tu,WITH MA BAE Via white house,nikikukosha mama usisahau kugonga like,make ninato tuchache
Fans Mi....
yaani hii nyimbo Davido kaua kabisa
Hivi hawa wanaume wa tz wana mpango gani na mioyo yetu? Eeh am asking these men of tz have which plan with our hearts???
hatukutoi ng'oooo haya ni malalamiko yetu wote wanawake wa tz ha ha ha
vote vote vote diamond
hivi unajuaga Hua nakuzimiaa vibaya me