Mange Kimambi amuandikia ujumbe mzito kaka yake aliyekutana na kupiga picha na Paul Makonda

Finally Mange amekwama!
Huwezi kupambana na mtu kama Makonda,halafu ndugu zako wa damu wawe upande wa Makonda,hutashinda hiyo vita na Mange anajua kwa anakwenda kupoteza battle haraka sana
 
Mange Kimambi
She is just bullshit, mapovu yamemtoka kweli kumbe mali ya urithi? Je ingekuwa ni her own sweat ingekuaje?
Basi arudi Bongo aje kutafuta haki yake if she can.

Makonda kampiga Mange panapouma.
 
Muda utafika tu watu watajua ni wafuasi wa nani.
 
Si huyo tu atafute ndugu woteeee.

Nataka picha ya bidada na konda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watanzania hawamuenzi sokoine ndio watamuenzi mange
 
Kichaa anamjuaaa kichaa mwenzieee
We naye unashabikia mpumbavu mwenzako.. Kama mange mwanamke kaolewa marekani anasema ujinga unamsapkrt , wewe naye huna tofauti naye, nenda kaolewe si una washeli wewe, wakupumulie kisogo
 
Naona unataka hadi kulia maskin uzi unaongelea picha ya anil na makonda ,hio nyingine anzisha uzi utaletewa,tena unitag kabisaaa nisikose ubuyu
Si huyo tu atafute ndugu woteeee.

Nataka picha ya bidada na konda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mange Kimambi
She is just bullshit, mapovu yamemtoka kweli kumbe mali ya urithi? Je ingekuwa ni her own sweat ingekuaje?
Basi arudi Bongo aje kutafuta haki yake if she can.

Makonda kampiga Mange panapouma.
 
Tena wauze kila kitu wagawane, yeye si kakimbilia huko hataki kurudi. Na shamba litachukuliwa sababu halijaendelezwa muda mrefu akirudi ataanza stair one mbulula yule
 

Unasoma unachoandika?

Tafakari kitu kimoja why would I and other 50millions plus should be given attention by the government office aka private entity ya Makonda to the visitation of private citizen.

Does Makonda as RC don’t have any better thing to do than talking and posing with Anil,

Would love to hear their outcome of their meeting, how would help me as resident of Dar and citizen of Tanzania in any citizen, labda unafahamu utuelezee hapa!

Lakini nitaanza kukusaidia, moja, Probably they talk about “lishe Bora” for That I would agree.

Or if they talk business na mafanikio yake Anil, we also want to hear, may be we all going to get an inspiration from their meeting to start business of our own.

Or else is the worst of tax payers money kwa kuendeleza udaku ndani ya ofisi ya serikali paid for and financed by your money, my money and money belongs to 50plus millions citizen.

And that’s make us come to conclusion Mange runs this Government in proxy.

Anazidi kuwakuna hawajielewi na hawajitambui, not worthy the position they are holding as public servant.

This tells you and me how incompetent our leaders are ? It is a scum run on steroid.

Usidanganyike!
 
Iyo ingekaa vizuri tuwajue wanafiki
 
uwezo wa kurudi kudai Mali zake hana bweg. e huyu, kwa alichokifanya kwa serikali hii ya jiwe anafikiri hao majaji watampa ushirikiano kweli?,kwanza ataozea jela labda atumie mawakili wa usa kwa kumwakilishwa ktk hiyo case, akija mwenyewe tu, lazima awe Chakula ya wafungwa jela
 
I second you
 
Wht a healthy comment yaaan kupitiaaa hii comment naombaa nilale .....siongei tena umemalizaaa everythin dear....kisses
 
for a combat soldier, the difference between success and failure is your ability to adapt to your enemy
 
Naona unataka hadi kulia maskin uzi unaongelea picha ya anil na makonda ,hio nyingine anzisha uzi utaletewa,tena unitag kabisaaa nisikose ubuyu
Nasemaje Panic at your own risk [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usiniondoe kwenye lengo nataka picha ya bidada na boss wako [emoji28][emoji28][emoji23] hiyo tu ndo itanifanya nione mmelamba dume tofauti na hapo mnayumba yumba tu hamjui mshike wapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bidada anawatoa makamasi sana [emoji14][emoji14][emoji14][emoji14]
 
We naye unashabikia mpumbavu mwenzako.. Kama mange mwanamke kaolewa marekani anasema ujinga unamsapkrt , wewe naye huna tofauti naye, nenda kaolewe si una washeli wewe, wakupumulie kisogo
Ur so pathetic darlin...take a chil hatred issa disease utakosaa dawaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…