Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Dogo ni snitch
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama dada yao anadhalilisha familia wamfanyaje sasa?Bonge amemsaliti dada ake! Siku zote damu ni nzito kuliko maji! Alichokifanya ni dhahiri yuko tayari hata dada ake anyongwe ili tu kina DAB wafurahi! Wakina Paul ni wapita njia lakini Mange atabaki kuwa ndugu yake milele na hakupaswa kumdhalilisha kiasi hiki! Hata hao kina DAB pamoja na matatizo yao bado ndugu zao wanawasapoti! Ila huwezi jua labda alitishiwa kutekwa!
Wameisogeza karibu. Kwani hata mchumba wake unamjua. Ni surprise. Na juzi juzi alikuwa Chato...kwa JPM nyumbaniKwahiyo ali kiba kapangiwa tarehe ya kufunga ndoa au kapanga mwenyewe?
Mshana unakosea kumuhukumu uyo dogo kisa na yeye kachagua direction na marafiki awapendao. Wewe utakubali kuchaguliwa marafiki?Ubonge nyanya na kukosa akili nadhani vina asili na mahusiano ya Karibu sana...! View attachment 744924
Labda dunia ya wadaku...Hahhaaa eti Rais wa Dar ila siyo mbaya ndege wafananao huruka pamoja [emoji23][emoji23][emoji23]
Yule dada ni moto. Mnazidi kumfanya dunia imzungumze.
[emoji23][emoji23][emoji23] jina lako linakusadifuLabda dunia ya wadaku...
@misasa utaona mwisho wa huu urafiki trust me... You will be surprised......Mshana unakosea kumuhukumu uyo dogo kisa na yeye kachagua direction na marafiki awapendao. Wewe utakubali kuchaguliwa marafiki?
Hii vita na ni trap ya MANGE ili aje nchini ku claim 25% ya share.Mange yupo sahihi kwani n ilivyo muelewa maadui zake wamewashawishi madogo wa uze ili wampore shere zake.
Mshana urafiki ndio ulivyo mkuu.@misasa utaona mwisho wa huu urafiki trust me... You will be surprised......
Ridhiwani aliwahi kufungwa mpaka gidamu za viatu
Ruge was the best friend
Vipi ya GSM!? Just to mention a few..!!!
NTIMA NYONGOOOOO!Unasoma unachoandika?
Tafakari kitu kimoja why would I and other 50millions plus should be given attention by the government office aka private entity ya Makonda to the visitation of private citizen.
Does Makonda as RC don’t have any better thing to do than talking and posing with Anil,
Would love to hear their outcome of their meeting, how would help me as resident of Dar and citizen of Tanzania in any citizen, labda unafahamu utuelezee hapa!
Lakini nitaanza kukusaidia, moja, Probably they talk about “lishe Bora” for That I would agree.
Or if they talk business na mafanikio yake Anil, we also want to hear, may be we all going to get an inspiration from their meeting to start business of our own.
Or else is the worst of tax payers money kwa kuendeleza udaku ndani ya ofisi ya serikali paid for and financed by your money, my money and money belongs to 50plus millions citizen.
And that’s make us come to conclusion Mange runs this Government in proxy.
Anazidi kuwakuna hawajielewi na hawajitambui, not worthy the position they are holding as public servant.
This tells you and me how incompetent our leaders are ? It is a scum run on steroid.
Usidanganyike!
[emoji106]Ubonge nyanya na kukosa akili nadhani vina asili na mahusiano ya Karibu sana...! View attachment 744924
Okay sawaMshana urafiki ndio ulivyo mkuu.
[emoji106]undugu hautenganishwi na siasa. They will always remain brother and sister regardless ya hizi fitina
Halafu Mange hapambani na ccm, kwa sasa she is non partisan, standing and fighting for the country. Na kwa taarifa yako tu wanaccm wengi tunamsupport. Miaka ya mbeleni baada ya utawala huu wa kidictator mchango wa Mange Kimambi utatambuliwa na kuenziwa.